GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sasa kama umejua ni cha Kipuuzi / Kiupumbavu na Wewe ni Mwerevu kwanini umepoteza muda wako Kuusoma? Nikisema Wewe ni Mental Case 100% nitakuwa nakosea?Hapo unajikuta Umeandika kitu chenye Akili kweli!!!
Yanga kuna chuo cha kuzalisha wajinga na wahitimu wake ndiyo hawaSasa kama umejua ni cha Kipuuzi / Kiupumbavu na Wewe ni Mwerevu kwanini umepoteza muda wako Kuusoma? Nikisema Wewe ni Mental Case 100% nitakuwa nakosea?
Unajua,unaongea kitu bila kujua unaongea niniNa Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
Una matatizo wewe.Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
Bado yule Bi. Joyce Lomalisa Mutambala.Mtoto Aziza kaleta balaa
Godoro fake nani anataka??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pamoja na hii baridi ila bado godoro nazo haziuziki
Hawa jamaa ni wasahaulifu sana. Ligi ikianza, siyo kelele hizo za GSM kununua timu pinzani.Mzigo umekata sawa,ligi ikianza tusisikie mnabana pua'wamehonga refa'tukubaliane mapema kweny hili
Na m200 zinaenda bure kwa safari hewa. Ghalib anapigwa mande kwenye usajili anapigwa na kwenye safari ya Uturuki anapigwa,wahuni siyo watu.Kambi uturuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Uturuki ya kigamboni
Mtoto Aziza kaleta balaaHawa jamaa ni wasahaulifu sana. Ligi ikianza, siyo kelele hizo za GSM kununua timu pinzani.
Sasa hivi wanasema magodoro yamekosa wateja! Pumzi imekata, nk.
Kwa sasa mizani imebalance! Tuna Joyce na huyo 'Aziza'Mtoto Aziza kaleta balaa
SawaKwa sasa mizani imebalance! Tuna Joyce na huyo 'Aziza'
Ila usisahau na nyinyi pia kwa sasa mna Aisha na Habiba.
Utakuwa umekosea kuwadhihirishia watu kuwa tunafanana kimatatizo ya akili haita kuwa siri yetu tenaSasa kama umejua ni cha Kipuuzi / Kiupumbavu na Wewe ni Mwerevu kwanini umepoteza muda wako Kuusoma? Nikisema Wewe ni Mental Case 100% nitakuwa nakosea?