Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
Unajua,unaongea kitu bila kujua unaongea nini
 
Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
Una matatizo wewe.
 
Hali mbaya utopolo wanapenda sana sifa kuliko uhalisia ukimtoa kikwete na baba yake kaboka manara mashabiki wote wa Yanga waliobaki hawana akili
 
Mzigo umekata sawa,ligi ikianza tusisikie mnabana pua'wamehonga refa'tukubaliane mapema kweny hili
Hawa jamaa ni wasahaulifu sana. Ligi ikianza, siyo kelele hizo za GSM kununua timu pinzani.

Sasa hivi wanasema magodoro yamekosa wateja! Pumzi imekata, nk.
 
Sasa kama umejua ni cha Kipuuzi / Kiupumbavu na Wewe ni Mwerevu kwanini umepoteza muda wako Kuusoma? Nikisema Wewe ni Mental Case 100% nitakuwa nakosea?
Utakuwa umekosea kuwadhihirishia watu kuwa tunafanana kimatatizo ya akili haita kuwa siri yetu tena
 
Back
Top Bottom