ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 541
Ile couple iliyotikisa sana mjini pande zote bara na visiwani kati ya wasanii wawili imevunjika, ikiwa ni siku moja toka jux akamatie degree yake huko uchinani la kupokea pongezi nyingi kutoka kwa mpenzi wake wa zamani vmoney watu wengi waliamini jini mkata kamba kashindwa ila ghafla leo mwanadafada akiwa anapigwa interview kaaamua kuanika ukweli wote hadharani, chanzo inaemekana ni ile issue ya vanesa kutajwa kwenye list ....wajuzi wa mambo tusaidieni hii inahusikaje??