Hii inaonyesha kuwa huenda katika Media zingine (ukiachana na TBC) huwezi kumpata Kiongozi mahiri au hawajaiva Kimaadili hivyo hawastahili kuteuliwa kuwa Wakuu wa Wilaya.
acheni ujuha nyie kwani Godwin Gondwe na Abdalah Mwaipaya walitoka TBC? mbona na huyo Gabriel Zakaria Wenu wa TBC kapigwa chini, hivi vyeo ni matokeo ya uchawa wako tu