Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
IMG_3733.jpg
 
Mambo ya kukaza kwenye mechi za Darby tu ila mechi zingine hawawezi kwenye mashindano ya CAF hawatofika mbali kwasababu sio mechi zote watacheza na Simba.
 
Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema.

Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
Wasivyo na aibu wala hawalifikirii hilo. Wataambiana mwananchi vimbaaaa tambaaa wakati timu bovu. Ila wasisahau wafanye usajili tu wakueleweka. Wakasaidie kutetea nafasi 4 maana hawana marefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kukaza kwenye mechi za Darby tu ila mechi zingine hawawezi kwenye mashindano ya CAF hawatofika mbali kwasababu sio mechi zote watacheza na Simba.
Tujifunze kuweka akiba ya maneno jamani mchezo wa mpira hauna mwenyewe. Sote tunakumbuka misimu miwili nyuma, Yanga walipata mbereko hivi hivi na maneno yalikuwa haya haya kuwa hamfiki mbali mara CAF champions league hakuna hivi na hivi. Lakini cha ajabu yule aliyekuwa na uhakika wa kusonga mbele akabakia hatua ya awali tu na kuwaacha Yanga waendelee mbele. Mpira hauitaji majivuno
 
Huko mbele walipoendelea waliishia wapi
 
Jana pia hawajapita geti rasmi.Sasa timu ya namna hii inayoaminisha wachezaji wake kwamba kuna kulogwa unategemea itafika wapi?
 
Yanga haijabebwa na timu yoyote. Juhudi zao za kufika fainali na kumaliza nafasi ya pili kwenye ligi imewahakikikishia kushiriki michuano ya kimataifa mwakani...
 
Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema.

Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
atuendi tumegoma
 
Yanga haijabebwa na timu yoyote. Juhudi zao za kufika fainali na kumaliza nafasi ya pili kwenye ligi imewahakikikishia kushiriki michuano ya kimataifa mwakani...
tuambie mngeendaje CAF kama mngefika fainali bila Simba kukusanya point?
 
Back
Top Bottom