Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

Sasa ni rasmi, Utopolo kubebwa kimataifa mwakani

Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema.
Mara ya mwisho waliposhiriki, Simba ndio walianza kutolewa mapema na UD Songo.

....ina maana Simba walileta aibu kwa taifa?
 
Yanga anaenda kushiriki Champion League kwa kuwa amemaliza nafasi ya pili au hulijui hilo?
Anakwenda kushiriki kwasababu simba wamewezesha nafasi ya viti maalumu ikiwepo hiyo ya pili. Normally mawakilishi wa kimataifa Tanzania ni wawili bingwa wa ligi kuu na bingwa wa shirikisho ila kutokana na msaada wa baba wa Mpira bongo kuwatafutia nafasi za ziada watoto wake huko Caf ndiyo maana na nyinyi mmepata.
 
Kimahesabu Simba alitakiwa ashiriki makombe yote mawili kwa kuwa ndio bingwa ila kwa kuwa haiwezekani moja atawakilishwa na utopolo
 
Back
Top Bottom