Utopologist
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 998
- 2,506
watakula red card hadi wakimbianeMambo ya kukaza kwenye mechi za Darby tu ila mechi zingine hawawezi kwenye mashindano ya CAF hawatofika mbali kwasababu sio mechi zote watacheza na Simba.
Hakika,kwa mpira wao ule wa mtaani waliocheza Kigoma red card za kutosha zitawahusu.watakula red card hadi wakimbiane
Wasivyo na aibu wala hawalifikirii hilo. Wataambiana mwananchi vimbaaaa tambaaa wakati timu bovu. Ila wasisahau wafanye usajili tu wakueleweka. Wakasaidie kutetea nafasi 4 maana hawana marefuUtopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema.
Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
Tujifunze kuweka akiba ya maneno jamani mchezo wa mpira hauna mwenyewe. Sote tunakumbuka misimu miwili nyuma, Yanga walipata mbereko hivi hivi na maneno yalikuwa haya haya kuwa hamfiki mbali mara CAF champions league hakuna hivi na hivi. Lakini cha ajabu yule aliyekuwa na uhakika wa kusonga mbele akabakia hatua ya awali tu na kuwaacha Yanga waendelee mbele. Mpira hauitaji majivunoMambo ya kukaza kwenye mechi za Darby tu ila mechi zingine hawawezi kwenye mashindano ya CAF hawatofika mbali kwasababu sio mechi zote watacheza na Simba.
Huko mbele walipoendelea waliishia wapiTujifunze kuweka akiba ya maneno jamani mchezo wa mpira hauna mwenyewe. Sote tunakumbuka misimu miwili nyuma, Yanga walipata mbereko hivi hivi na maneno yalikuwa haya haya kuwa hamfiki mbali mara CAF champions league hakuna hivi na hivi. Lakini cha ajabu yule aliyekuwa na uhakika wa kusonga mbele akabakia hatua ya awali tu na kuwaacha Yanga waendelee mbele. Mpira hauitaji majivuno
Aliishia pale ambapo mbebaji wake alishindwa kufikia katika msimu husikaHuko mbele walipoendelea waliishia wapi
atuendi tumegomaUtopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema.
Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni wa rafu nyingi, utapigwa umeme kila mechi.
tuambie mngeendaje CAF kama mngefika fainali bila Simba kukusanya point?Yanga haijabebwa na timu yoyote. Juhudi zao za kufika fainali na kumaliza nafasi ya pili kwenye ligi imewahakikikishia kushiriki michuano ya kimataifa mwakani...
Tangu lini nafasi ya pili bongo anashiriki mashindano ya kimataifa?,Yanga haijabebwa na timu yoyote. Juhudi zao za kufika fainali na kumaliza nafasi ya pili kwenye ligi imewahakikikishia kushiriki michuano ya kimataifa mwakani...