MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Upo sahihi yaani kwenye mstari, na asitokee mtu kuleta unafiki ngoja wanyooshaneKuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC
Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili kuliko wa Wasafi FM.
Mule yanga tupu,mahojiano ya hersi said pale watangazaji kama walikuwa wako upande wake,shobo nyingiKuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC
Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili kuliko wa Wasafi FM.
Liangalie hili Juha hivi EFM wana Kipindi cha Michezo ( Weekdays ) kinachoanza Saa 6 Mchana hadi Saa 9 Alasiri?Wachambuzi wa wasafi huwezi walinganisha na zle taka taka za EFM, mi nafuatiliaga Wasafi arena na pia nafuatiliaga Cha EFM saa sita kama sikosei hadi Tisa, wasafi wapo vizuri sana
Hahahahahahah! Eti "uzi wa 80" zote ni za leo tu?Leo uzi wa 80 wa MINOCYCLINE kuponda na kuongelea Yanga. Jamaa kweli anaweweseka.
Daima mbele, nyuma tia mwikoTangu lini Makolo mkawa na Akili?
Akili za Makolo ziko mikononi mwa Malaya wa Mpira Jemedari pamoja na Msimbe wa Mpira Oruma bila kumsahau Kimada wa Mpira Geof Leah!
Utakufa masikini,roho mbaya kama hii haitakiwiKuanzia leo siisikilizi tena Wasafi FM na nitamwona Mpuuzi wa mwisho mwana Simba SC yoyote akiisikiliza kwani hiyo ni Redio ya wana Yanga SC
Nawaombeni wana Simba SC wote kuanzia leo anzeni tu Kuisikiliza EFM Radio kwani ndiyo Redio yetu na ina Watangazaji na Wachambuzi Wasomi na wana Akili kuliko wa Wasafi FM.