Sasa ni ruksa kuomba Lifti kwenye gari la Polisi.

Sasa ni ruksa kuomba Lifti kwenye gari la Polisi.

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
3,799
Reaction score
10,196
Kweli Jeshi la Polisi Tanzania ni la mfano Duniani. Hongera Jeshi letu.
Screenshot_20230214-174608.jpg
 
Wataomba wangapi ? au kama vipi watembelee Fuso Kabisa ili kuwahudumia wengi, by the way Lift kwenda wapi ?
 
Yaliyomkuta zuwena yamewakuta na njagu? [emoji15][emoji15] wamebadilika sana.
 
Nani akubali kunasa kwenye mtego wa panya! Bora nitembee kwa miguu. Dakika 0, hawachelewi kukubambikia kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha.

Polisi wa nchi hii, hawana maana kabisa. Wanapenda sana rushwa, hawaaminiki, ni vigeugeu, halafu wananuka njaa.
 
Back
Top Bottom