naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
[emoji3][emoji3][emoji3]"afande niache pale walevi bar"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3]"afande niache pale walevi bar"
[emoji44][emoji44][emoji44]Nani akubali kunasa kwenye mtego wa panya! Bora nitembee kwa miguu. Dakika 0, hawachelewi kukubambikia kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha.
Polisi wa nchi hii, hawana maana kabisa. Wanapenda sana rushwa, hawaaminiki, ni vigeugeu, halafu wananuka njaa.
Huu Uzi ningekuwa kwenye daladala au sehemu ya watu wengi nadhani saa hii ningekuwa njiani napelekwa mirembe [emoji3][emoji3][emoji3]Uzuri unapewa na msaada wa kupanda.
View attachment 2518998
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]Difenda nyingi zina kunguni, labda zile SUV za wakubwa unakaa kwenye seat za leather
Waliwahi kunipa lift from karatu to moshi town na walikua fasta nilifika kama nimesafir na ndegePolisi hapana, JW ndio najua huwa wanatoa lift na hawanaga maneno
Non sense, Binafsi ningewaona waungwana kama wangesema zile gari zote za umma PT, STK, STJ,STL, STM, UT, JWTZ, DFPA, SU, Magari ya Majaji etc yatoe kipaumbele kuwabeba wanafunzi wanapoona inahitajika kuwasogeza wanafunzi maeneo yao ya shule etc... Kusema kwamba eti raia waombe lift gari za Polisi ni vie wanazidi kutufikirisha wananchi juu ya uelewa na dhamira ya dhati ya mali za umma......... niidhani itolewe amri kwa madereva kuwapa vipaumbee kuwapa lift wanafunzi!!Kweli Jeshi la Polisi Tanzania ni la mfano Duniani. Hongera Jeshi letu.
View attachment 2517403
Sasa mkuu si unaweza kufanya nao doria Siku nzima.......!!!Mkuu wewe panda mtajuana kwenye gari ,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kusema unataka kuteremka unaogopa [emoji3][emoji3][emoji3]Sasa mkuu si unaweza kufanya nao doria Siku nzima.......!!!
Wale watu wakishavaa zile nguo zao ubinadamu unawatokaKusema unataka kuteremka unaogopa [emoji3][emoji3][emoji3]
Kweli Jeshi la Polisi Tanzania ni la mfano Duniani. Hongera Jeshi letu.
View attachment 2517403