Sasa ni ruksa kuomba Lifti kwenye gari la Polisi.

[emoji44][emoji44][emoji44]
 
Difenda nyingi zina kunguni, labda zile SUV za wakubwa unakaa kwenye seat za leather
 
Kweli Jeshi la Polisi Tanzania ni la mfano Duniani. Hongera Jeshi letu.
View attachment 2517403
Non sense, Binafsi ningewaona waungwana kama wangesema zile gari zote za umma PT, STK, STJ,STL, STM, UT, JWTZ, DFPA, SU, Magari ya Majaji etc yatoe kipaumbele kuwabeba wanafunzi wanapoona inahitajika kuwasogeza wanafunzi maeneo yao ya shule etc... Kusema kwamba eti raia waombe lift gari za Polisi ni vie wanazidi kutufikirisha wananchi juu ya uelewa na dhamira ya dhati ya mali za umma......... niidhani itolewe amri kwa madereva kuwapa vipaumbee kuwapa lift wanafunzi!!
 
Hesabu ni ndogo tu mbona, Unafikiri issue ni kupanda basi, Issue kushuka maana wakikushushia njiani ni picha mbaya kana kwamba wamepokea rushwa so ni lazima ufike kituoni kwanza😁
 
Jichanganye wakushangaze,, unakuta ndo wametoka kumtafuta mtuhumiwa na wamemkosa afu we na kihere here chako uombe lift,,,, ***** unashtukia tu unavalishwa pingu!!!
 
Mnaweza kujichanganya mtuhumiwa anashushwa njian..alafu ww uliyeomba lift ukashushwa segerea
 
Hili wala usijaribu kulifanya maana hawana bima hawa jamaa, sasa mkipata ajali ndio utagundua J4 kakuingiza kingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…