Sasa ni siku ya 3 taa ya airbag haizimiki

lucasm00

Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
48
Reaction score
42
Gari yangu aina ya Raum 2nd generation niliipaki kama week 2 ilikuwa na changamoto ya brake system nzima na kwa bahati mbaya ikasababisha mpka betri kuwa low maana gari ilikuwa aitumiwi majuzi imetengenezwa brake system nzima na betri ku boost na shangaa taa ya AIRBAG ina blink fundi...Fundi aliniambia inawezekana maji yameingia kweny fuse sijui ya AIRBAG ila itazima tu yenyewe ila sasa ni siku ya 3 sasa aizimi na inaniboa ..Msaada naomba wajuzi
 
Kama hawakugusa popote labda ndio muda ulikuwa umefika wa kitu kimoja wapo kwenye airbag kuleta shida.

Hapo mpaka diagnosis ndio utajua shida ni nini.

Kama upo Dar nicheck 0621221606
 
Haikuigusa popote zaaidi ya brake na betri tu mkuu...nipo Dodoma ....Wenyeji wa Dom mwenye kumjua fundi mzuri
 
Battery inaweza kuwa sababu.. Tafuta battery mahali utest mitambo..!
 
Howw? Battery inawezaje kuwasha other warning light

M najua battery itawasha taaa ya batery
Low voltage kwenda kwenye computer ya gari ECU.. Inaichanganya.. Inatrigger codes nyingine..
Kuna gari kama BMW itawasha taa ya 4x4 battery ikiwa chini..!

Atafute battery iliyo nzuri kucheki kwanza..!
 
Ilishatokea kwenye gari hiyo taa ilikuwa ikiwaka kwa muda mrefu, ila kumbe ule waya ulikuwa umelegea kwenye socket, fundi kaichomeka vizuri taa ikazima...check hizo connection pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…