Gari yangu aina ya Raum 2nd generation niliipaki kama week 2 ilikuwa na changamoto ya brake system nzima na kwa bahati mbaya ikasababisha mpka betri kuwa low maana gari ilikuwa aitumiwi majuzi imetengenezwa brake system nzima na betri ku boost na shangaa taa ya AIRBAG ina blink fundi...Fundi aliniambia inawezekana maji yameingia kweny fuse sijui ya AIRBAG ila itazima tu yenyewe ila sasa ni siku ya 3 sasa aizimi na inaniboa ..Msaada naomba wajuzi