Sasa ni wakati muafaka ''Brothe K'' Uchukue nafasi ya '' Mzee Majuto''

Sasa ni wakati muafaka ''Brothe K'' Uchukue nafasi ya '' Mzee Majuto''

Huyu jamaa namkubali sana. Anavaa uhalisia wa jambo mpaka unasahau kuwa unaangalia TV.
Binafsi ukimuondoa mzee Majuto huyu ndiye huwa naweza kumfuatilia.
Hao akina Joti huwa wanaigiza kuwa wanaigiza badala ya kuuvaa uhalisia.
Kweli aisee
Yani braza k unaeza sahau kua ni muigizaji[emoji23]
Juzi kati alinichekesha alisema "nimejaa tele kama pishi la makande"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha.
mkuu hujamaliza kuoga. naona comment imejaa sabuni kama avata yako.
hahaha
Kweli binadamu tumetofautiana, mi binafsi huyo jamaa namuona wa kawaida sana ndio maana nikionaga Futuhi nabadili Channel fasta, comedy za kupigana kilasiku kama matoto, na hawezi kuchekesha bila kuvaa nguo oversize ndo umfananishe na yule mzee ambaye anauwezo wa kukuchekesha hata akivaa suti? Huyo hastahili hata kufunga gidamu za viatu vya Joti, labda unaweza mfananisha na Bambo ndo size yake. Mtu pekee anayeweza kurithi mikoba ya Majuto ni Joti

hata ronaldo na messi ni bora lakni hawafanini katika ubora wao.
pia sio ajabu kuona mashabiki wa ronaldo wanamuona messi hafai hata kulinganishwa na BOKO.
Yule brother ukimzingatia, Yuko vizuri.
 
Mkuu Brother K ninamkubali lakini Joti mmmh ni Habari nyingine aiseee... Halafu Joti kila siku yuko kwenye Kiwango, kwa wale wanaomfahamu Joti toka kipindi kile wanaigiza kwenye tamthilia na mpoki ITV, NAFIKIRI wanaelewa nini namaanisha.
Ingia Youtube tafuta JOTI TV utaelewa maanisha nini!
JOTI anabadilika katika kila character kiufupi hatabiriki!!!

Joti yuko powa bt kuna muda clip zake baadh haziko powa kivile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umenikumbusha Bro K nilipokuwa Mwanza nusura nimle mkewe (kipindi bado alikua demu wake). Nilikuja kuambiwa tu huyo demu unayemnyemelea ni wa braza K.....kidemu kilikua kinaficha. Kikawa sitaki nataka nyingi nikakipotezea. Ni kazuri kale katoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
brother-k-wa-futuhi.jpg

Huyu jamaa japo hana muda mrefu kuliko hata wale wachekeshaji wa mizengwe, kwa mtazamo wangu ndiyo mchekeshaji pekee aliobaki mwenye uswezo wa kuvaa viatu vya mzee majuto.

hakuna cha
Jotii, mkandamizajo, mpoki, mkwele wana nani.

Brother K, kaza uzi fanya maboresho ututoe wabongo kwenye ulimwengu wa vichekesho.
Uchekeshaji tanzania ukivaa vaa vibaya manguo makubwa na machafu na kujipaka paka marangi usoni ndio unakubalika.
 
Jamani Mimi ni mbishi sana na huwa ni mpinzani sana ila kwa Brother K jamaa anajua kweli ni real comedian!! Namtabiria makubwa mbeleni
 
brother-k-wa-futuhi.jpg

Huyu jamaa japo hana muda mrefu kuliko hata wale wachekeshaji wa mizengwe, kwa mtazamo wangu ndiyo mchekeshaji pekee aliobaki mwenye uswezo wa kuvaa viatu vya mzee majuto.

hakuna cha
Jotii, mkandamizajo, mpoki, mkwele wana nani.

Brother K, kaza uzi fanya maboresho ututoe wabongo kwenye ulimwengu wa vichekesho.
Yaani achukue nafasi ya Mzee Majuto unamaanisha aanze kuugua ugonjwa ule na kulazwa hospital ileile na aje afe vile vile au mie ndo sijaelewa?
Maana nimekoment kabla sijasoma uzi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom