matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #21
hahahaha.
Kweli aiseeHuyu jamaa namkubali sana. Anavaa uhalisia wa jambo mpaka unasahau kuwa unaangalia TV.
Binafsi ukimuondoa mzee Majuto huyu ndiye huwa naweza kumfuatilia.
Hao akina Joti huwa wanaigiza kuwa wanaigiza badala ya kuuvaa uhalisia.
Kweli binadamu tumetofautiana, mi binafsi huyo jamaa namuona wa kawaida sana ndio maana nikionaga Futuhi nabadili Channel fasta, comedy za kupigana kilasiku kama matoto, na hawezi kuchekesha bila kuvaa nguo oversize ndo umfananishe na yule mzee ambaye anauwezo wa kukuchekesha hata akivaa suti? Huyo hastahili hata kufunga gidamu za viatu vya Joti, labda unaweza mfananisha na Bambo ndo size yake. Mtu pekee anayeweza kurithi mikoba ya Majuto ni Jotihahahaha.
mkuu hujamaliza kuoga. naona comment imejaa sabuni kama avata yako.
hahaha
hata ronaldo na messi ni bora lakni hawafanini katika ubora wao.Kweli binadamu tumetofautiana, mi binafsi huyo jamaa namuona wa kawaida sana ndio maana nikionaga Futuhi nabadili Channel fasta, comedy za kupigana kilasiku kama matoto, na hawezi kuchekesha bila kuvaa nguo oversize ndo umfananishe na yule mzee ambaye anauwezo wa kukuchekesha hata akivaa suti? Huyo hastahili hata kufunga gidamu za viatu vya Joti, labda unaweza mfananisha na Bambo ndo size yake. Mtu pekee anayeweza kurithi mikoba ya Majuto ni Joti
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamecheza na majuto?smart and humble.
anajua maisha ya kawaida hivyo hata akiigiza maigizo au vichekesho vyake vinaakisi uhalisia.
kama ile movie "mzee kirungu" hata majuto kafunikwa.
Binafsi, maigizo ya Majuto nilikuwa hata siyapendi. Nilikuwa naona ana UCHEKESHAJI WA KITOTO SANA!smart and humble.
anajua maisha ya kawaida hivyo hata akiigiza maigizo au vichekesho vyake vinaakisi uhalisia.
kama ile movie "mzee kirungu" hata majuto kafunikwa.
The guy is smart sio wale kina pilipili sijui watu huwa wanacheka nini yaani nikiwaona nazima runinga kabisa
Mkuu Brother K ninamkubali lakini Joti mmmh ni Habari nyingine aiseee... Halafu Joti kila siku yuko kwenye Kiwango, kwa wale wanaomfahamu Joti toka kipindi kile wanaigiza kwenye tamthilia na mpoki ITV, NAFIKIRI wanaelewa nini namaanisha.
Ingia Youtube tafuta JOTI TV utaelewa maanisha nini!
JOTI anabadilika katika kila character kiufupi hatabiriki!!!
Uchekeshaji tanzania ukivaa vaa vibaya manguo makubwa na machafu na kujipaka paka marangi usoni ndio unakubalika.
Huyu jamaa japo hana muda mrefu kuliko hata wale wachekeshaji wa mizengwe, kwa mtazamo wangu ndiyo mchekeshaji pekee aliobaki mwenye uswezo wa kuvaa viatu vya mzee majuto.
hakuna cha
Jotii, mkandamizajo, mpoki, mkwele wana nani.
Brother K, kaza uzi fanya maboresho ututoe wabongo kwenye ulimwengu wa vichekesho.
Ilikuwa ni hamu tu ya kitu kipya nchini.Ila tuache ushabiki orginal comedy ilikuwa kitu kingine wakati wanaanza mzazi saa moja yupo home kusubir orginal comedy
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa ni hamu tu ya kitu kipya nchini.
Yaani achukue nafasi ya Mzee Majuto unamaanisha aanze kuugua ugonjwa ule na kulazwa hospital ileile na aje afe vile vile au mie ndo sijaelewa?
Huyu jamaa japo hana muda mrefu kuliko hata wale wachekeshaji wa mizengwe, kwa mtazamo wangu ndiyo mchekeshaji pekee aliobaki mwenye uswezo wa kuvaa viatu vya mzee majuto.
hakuna cha
Jotii, mkandamizajo, mpoki, mkwele wana nani.
Brother K, kaza uzi fanya maboresho ututoe wabongo kwenye ulimwengu wa vichekesho.