Vyamavingi
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 5,818
- 5,555
Inategemea hapo alikuwa anaigiza kama nani.Uchekeshaji tanzania ukivaa vaa vibaya manguo makubwa na machafu na kujipaka paka marangi usoni ndio unakubalika.
Mkuu pili pili alikukosea nn?The guy is smart sio wale kina pilipili sijui watu huwa wanacheka nini yaani nikiwaona nazima runinga kabisa
inaitwaje mkuu nikaitafutendio majuto amepanga nyumbani kwake, yeye ndio landlord hiyo nyumba inawapangaji kibao utata mtupu humo brother K hafai.
Umeniahi ayseenafasi ya Majuto hawezi chukua mtu kama hayo na hakuna wakuichukua
Majuto anaigiza kwa sauti yake halisi na unacheka, akilia unacheka, akitembea unacheka, akiongea unacheka, akicheka unacheka, majuto anavaa kawaida tu na unafurahi. Brother K hizo package hana na hatakuanazo
Kuna siku lilikua ni li dokta sa mgonjwa ni yule mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa huwa ana akili sana huyu naeKuna siku lilikua ni li dokta sa mgonjwa ni yule mzee
Likamuuliza unaishi wapi ?
Mzee : hapa hapa tu dokta
Sumaku: yani hapa hapa hospitali ?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] nilicheka mno[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jamaa huwa ana akili sana huyu nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hiyo niliwahi kuiona lakini sikuipendandio majuto amepanga nyumbani kwake, yeye ndio landlord hiyo nyumba inawapangaji kibao utata mtupu humo brother K hafai.