Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Idris anachekesha nini jamani.... huyu na Mc Pilipili sijawahi kuwaelewa kabisa1.Joti
2.Joti
3.Joti
4.Joti
5.Idris Sultan
6.Anko Zumo
7.Oka Martin
8.Jaymondy
Wa 9 na 10 nitawaorodhesha nikikumbuka, Brothet k ni ile movie na King Majuto tu ndio nilimuona mchekeshaji ila Futuhi amna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ndio list ya comedian wanaokwenda na muda, style ya Brother K ya kizamani sana level zake ni wakina senga na pembeIdris anachekesha nini jamani.... huyu na Mc Pilipili sijawahi kuwaelewa kabisa
Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
ndo ukachekaKweli aisee
Yani braza k unaeza sahau kua ni muigizaji[emoji23]
Juzi kati alinichekesha alisema "nimejaa tele kama pishi la makande"
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwel jot yupo vizur , Seema hua anakera anapoigiza Kama mwanamkeMkuu Brother K ninamkubali lakini Joti mmmh ni Habari nyingine aiseee... Halafu Joti kila siku yuko kwenye Kiwango, kwa wale wanaomfahamu Joti toka kipindi kile wanaigiza kwenye tamthilia na mpoki ITV, NAFIKIRI wanaelewa nini namaanisha.
Ingia Youtube tafuta JOTI TV utaelewa maanisha nini!
JOTI anabadilika katika kila character kiufupi hatabiriki!!!
Unazima tv na unamuona alivyovaa?Kweli binadamu tumetofautiana, mi binafsi huyo jamaa namuona wa kawaida sana ndio maana nikionaga Futuhi nabadili Channel fasta, comedy za kupigana kilasiku kama matoto, na hawezi kuchekesha bila kuvaa nguo oversize ndo umfananishe na yule mzee ambaye anauwezo wa kukuchekesha hata akivaa suti? Huyo hastahili hata kufunga gidamu za viatu vya Joti, labda unaweza mfananisha na Bambo ndo size yake. Mtu pekee anayeweza kurithi mikoba ya Majuto ni Joti
Sent using Jamii Forums mobile app