ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Nafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star.
Hapo Sasa, pia nimefikiria katika Ligue yetu tuma wachezaji wazuri ambao bado hawajacheza timu ya taifa. Nimefikiria katika jambo hilo basi Rais karia amfikirie max Ili apewe uraia na akipige katika timu yetu ya taifa , ambayo itashiriki afcon.
Haya ni mawazo tu, inawezekana yakawa ya hovyo, lakini tuangalie hili kama inawezekana