ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Aiseeeee....Kibu aliombewa uraia baadae akaitwa timu ya taifa akasema amechoka
Max sio Kibu. Binadamu hawafanani.Kibu aliombewa uraia baadae akaitwa timu ya taifa akasema amechoka
Ana miaka mingapi?Umri wake tafadhaliNafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star.
Hapo Sasa, pia nimefikiria katika Ligue yetu tuma wachezaji wazuri ambao bado hawajacheza timu ya taifa. Nimefikiria katika jambo hilo basi Rais karia amfikirie max Ili apewe uraia na akipige katika timu yetu ya taifa , ambayo itashiriki afcon.
Haya ni mawazo tu, inawezekana yakawa ya hovyo, lakini tuangalie hili kama inawezekana
Neno ni Tafadhali siyo tafadhariAna miaka mingapi?Umri wake tafadhari.
Max ni mchezaji fulani anaonekana ana nidhamu sana..Max sio Kibu. Binadamu hawafanani.
According to vigezo vya nchi na taratibu halitowezekana. Kuzeni vipaji vya nchi yenu musche kudandia raia wa njeNafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star.
Hapo Sasa, pia nimefikiria katika Ligue yetu tuma wachezaji wazuri ambao bado hawajacheza timu ya taifa. Nimefikiria katika jambo hilo basi Rais karia amfikirie max Ili apewe uraia na akipige katika timu yetu ya taifa , ambayo itashiriki afcon.
Haya ni mawazo tu, inawezekana yakawa ya hovyo, lakini tuangalie hili kama inawezekana
Hivi unafikiri kila mtu anautaka uraia wa Tanzania? Au unadhani ukitaka fulani awe raia basi anapewa kwa nguvu yako hata kama yeye hana nia hiyo?Nafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star.
Hapo Sasa, pia nimefikiria katika Ligue yetu tuma wachezaji wazuri ambao bado hawajacheza timu ya taifa. Nimefikiria katika jambo hilo basi Rais karia amfikirie max Ili apewe uraia na akipige katika timu yetu ya taifa , ambayo itashiriki afcon.
Haya ni mawazo tu, inawezekana yakawa ya hovyo, lakini tuangalie hili kama inawezekana
Ni around 25Ana miaka mingapi?Umri wake tafadhali
madunduka mengi hayajitambui yey anazani urai ni kama kupika chapati na vitumbuaHivi unafikiri kila mtu anautaka uraia wa Tanzania? Au unadhani ukitaka fulani awe raia basi anapewa kwa nguvu yako hata kama yeye hana nia hiyo?
Ingawa vituko waliofanyiwa ni Simba, lakini kitendo Kibu amewafanyia Simba kinenifanya nimuone ni kijana wa hovyo sana, asiyejielewa wala asiye na shukrani.Max ni mchezaji fulani anaonekana ana nidhamu sana..
Akili hanaIngawa vituko waliofanyiwa ni Simba, lakini kitendo Kibu amewafanyia Simba kinenifanya nimuone ni kijana wa hovyo sana, asiyejielewa wala asiye na shukrani.
Kuna special cases mkuu. Under certain circumstances for the national interests, government has the discretion to expedite the naturalization process.Kuna muda ambao anatakiwa kuishi Tanzania ndio apewe uraia, nafikiri ni miaka mitano. Kwa wachezaji wa kigeni kama Morrison aliweka makazi yake Tanzania tangu kipindi anaenda yanga kwa mara kwanza nafikiri sasa hivi atakua amebakiwa na miezi michache tu aweze kuomba uraia na kucheza timu ya Taifa,
Naunga mkono hojaNafikiri pia sisi tuanze kuangalia vipaji vilivyopo Ili tuidumishe timu yetu ya taifa, tukikumbuka Serikali kupitia karia walimpa uraia wa Tanzania mchezaji tegemeo wa Simba aka kibu Denis, na Sasa kibu Denis prospa kiungo hatari wa Simba ni mchezaji wa Star.