Sasa ni wakati wa kuianika mikataba yote ya Magufuli kama wao walivyoanika mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na mingineyo

Harufu ya samaki ilianza mara baada ya kumweka mpwa kwenye kibubu, kwa kweli mpwa itabidi atusaidie kwenye hili...wafukunyuzi anzeni kufukunyua bei ya terrible teen...
 
Tena waanze na ile ya MAYANGA nasikia tu lakini kwamba imejaa madudu
 
Fix hzo
 
Kimenuka !
 
Kwa hali hii daraja la busisi lipo taabani
Daraja litakamilika, hilo sina wasiwasi kabisa. Watu wanatakiwa kujua hii bado ni CCM na wala si upinzani, hivyo hayo wanayoyataka kwa kujiendekeza et ooh mama yetu, wasubiri wao wakishika nchi.
 
Uko sahihi lakini naona pia mwisho wa miradi hiyo. Huenda ikafa na tukabakia kwenye malumbano
 
Tusivuane Nguo Bado Mapema Sana, Wengine Mtawauwa Bure.
 
kama kunamikataba mibovu naye pia kama makamu wa raisi alishiriki pia katka hyo mikataba,kuiweka wazi ni kujivua ngua yeye mwenyewe, ko n kitu hakiwezi tokea
 
Na tuelezwe aliyejenga chato airport alipataje ile tender na pia tutajiwe majina ya wengine walio bid tender tuone nani alistahili
Mayanga Construction imekuwa Mayanga kweli ila wafanyakazi wake wamekula bata sana sema ndo hivyo kutesa kwa zamu, upepo umegeuka ghafla
 
Umejua na huku mtaani ni watu wangapi wamefurahi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Daah ila huu uzi! pga kelele kwa Magu akee...... # Hivi zile beat kweli zimeondoka Mungu Mkali
 

Alishindwa kuelewa bwana asipoulinda mji alindae afanya kazi bure
 
Niliuwaga muumini mzuri wa Upinzani,baadae niliona ni Usanii mtupu umewajaa! Sasa hivi JK kageuka kuwa Malaika kwao. Kweli JPM aliwanyoosha.
Acha kubwabwaja tunataka mikataba yake iwekwe hadharani
 
Hao nao walitutisha tutashitakiwa MIGA?
 
Mnatumia nguvu kubwa sana kumpamba huku hatamki watu na media waeleze mabaya yake ila hii hautawasaidia kufunika makosa yake.Ni swala la muda tu huu ujinga utafika mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…