Sasa ni wakati wa kuianika mikataba yote ya Magufuli kama wao walivyoanika mkataba wa Bandari ya Bagamoyo na mingineyo

Wanafiki sana hawa jamaa.Nakwambia ni CCM hawa hawa walioitwa majizi ndio watamuanika Magu na madudu yake.
 

Naunga mkono hoja.
 

Kama hana makandokando kwanini alimfukuza kazi CAG profesa Assad!
 
Hii kazi ya kuanika mikataba ya Magufuli na mambo mengine itafanywa na hao hao CCM wenzao waliokuwa wametengwa na huu utawala wa Magu.
CCM ipo kwenye mikono salama chini ya HB na wenzake.
 
"UBAYA UBAYA TU" - JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…