Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

Matangwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
750
Reaction score
1,394
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri

Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya habari karibu vyote, watoto wa mjini (misheni town) wafanyabiashara wa kimafia.
 
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa JPM na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la JPM linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri

Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya habar karibu vyote, watoto wa mjini (misheni town) wafanyabiashara wa kimafia
Mlioigawanya ni nyie ambao mmegoma kuamini kuwa JPM amekufa na kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Makamu wa Rais ndiye anakuwa Rais. Pili, nchi iligawanywa pale JPM na serikali yake walipotaka kuiaminisha jamii kuwa wao tu ndo wenye akili, wazalendo na wenye haki na wanaoweza kuongiza nchi.
 
Kuna kundi halipo kati ya hayo mawili na ni kubwa sana.
 
Hivi MTu anawezaje shabikia mzoga wa Magufuli. Ni ukichaa tu kwa mtu kama huyo wa gambosh. SUKUMA GANG HOVYO KABISA
 
Hata kundi la JPM walikuwa walamba asali wakati wa utawala wake, huo mpasuko unaosema ni wa kimaslahi zaidi, hakuna cha wavuja jasho, naye alikuwa mwizi kama wezi wengine ndani ya utawala wake.
Falsafa ya Dkt Magufuli ni uzalendo na kuhakikisha rasilimali zinalifaidisha taifa, na huo ndiyo msimamo wa rais Dkt Samia, na ndiyo maana lile kundi la wezi wote na wenye uchu na kuiibia nchi lazima wafe kabisa wote ili taifa liendelee
 
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri

Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya habari karibu vyote, watoto wa mjini (misheni town) wafanyabiashara wa kimafia.
 
Attachments

  • IMG_9991.MP4
    554.6 KB
Mlioigawanya ni nyie ambao mmegoma kuamini kuwa JPM amekufa na kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Makamu wa Rais ndiye anakuwa Rais. Pili, nchi iligawanywa pale JPM na serikali yake walipotaka kuiaminisha jamii kuwa wao tu ndo wenye akili, wazalendo na wenye haki na wanaoweza kuongiza nchi.
Matatizo yalianzia Kwa jpm pale baadhi yetu tuliamini kuwa YEYE tu ndo mwisho wa matatizo tukasahau kuwa ni binadamu kama walivyo wengine, bahati mbaya au nzuri aliye mrithi nikutoka katika walewale kwahiyo hakuna mgawanyiko. CHAMA KILEKILE WATENDAJI WALEWALE sisi tupo pale tunaendelea na maisha yetu tuliyoyazoea hatuna connections Wala godfather.
 
Mlioigawanya ni nyie ambao mmegoma kuamini kuwa JPM amekufa na kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Makamu wa Rais ndiye anakuwa Rais. Pili, nchi iligawanywa pale JPM na serikali yake walipotaka kuiaminisha jamii kuwa wao tu ndo wenye akili, wazalendo na wenye haki na wanaoweza kuongiza nchi.
Over
 
Kuna mmoja alikuwa na roho ya kishetani na alichukiwa kwa vitendo vyake vya kikatili, dharau, chuki na masimango dhidi ya wengine.
 
Back
Top Bottom