Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

Walamba asali ni pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani
Wewe ndio unalamba asali. Mmekalia upinzani wakati mmejazana bungeni na halmashauri. Kila baya lazima mtafute njia ya kuingiza upinzani. Mnafiki mkubwa wewe.
 
Falsafa ya Dkt Magufuli ni uzalendo na kuhakikisha rasilimali zinalifaidisha taifa, na huo ndiyo msimamo wa rais Dkt Samia, na ndiyo maana lile kundi la wezi wote na wenye uchu na kuiibia nchi lazima wafe kabisa wote ili taifa liendelee
Kama alivyokufa yeye Magufuli. Maana ndio alikuwa kubwa la majizi.
 
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri

Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya habari karibu vyote, watoto wa mjini (misheni town) wafanyabiashara wa kimafia.
Ccm ijitafakari inaweza kuzikwa soon
 
Moto alouwasha hautokaa uzimike, ni swala la muda tu, tunapokaa kimya wanapomdhihaki mitandaoni wanahisi wao ndo the majority, siku yaja.
 
Back
Top Bottom