Mlioigawanya ni nyie ambao mmegoma kuamini kuwa JPM amekufa na kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Makamu wa Rais ndiye anakuwa Rais. Pili, nchi iligawanywa pale JPM na serikali yake walipotaka kuiaminisha jamii kuwa wao tu ndo wenye akili, wazalendo na wenye haki na wanaoweza kuongiza nchi.Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa JPM na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la JPM linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri
Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya habar karibu vyote, watoto wa mjini (misheni town) wafanyabiashara wa kimafia
Kuna kundi halipo kati ya hayo mawili na ni kubwa sana.Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa JPM na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la JPM linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri
Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya habar karibu vyote, watoto wa mjini (misheni town) wafanyabiashara wa kimafia
Wako busy na smba ya wapi? Leo hakuna mashabiki uwanja wa Azam complexWatu wako bize na mambo ya Simba na Yanga,hawana habari hizo
Falsafa ya Dkt Magufuli ni uzalendo na kuhakikisha rasilimali zinalifaidisha taifa, na huo ndiyo msimamo wa rais Dkt Samia, na ndiyo maana lile kundi la wezi wote na wenye uchu na kuiibia nchi lazima wafe kabisa wote ili taifa liendeleeHata kundi la JPM walikuwa walamba asali wakati wa utawala wake, huo mpasuko unaosema ni wa kimaslahi zaidi, hakuna cha wavuja jasho, naye alikuwa mwizi kama wezi wengine ndani ya utawala wake.
Baada ya msiba wa Bernard Membe kutangazwa kumekuwepo na mpasuko wa wasi kati wafuasi wa Hayati Magufuli na walamba asali ya serikali ya awamu ya sita maarufu kama MSOGA GANG.
Kundi la Hayati Magufuli linajumuisha wavujajasho na watu wenye subiri
Kundi la walamba asali linajumuisha vyombo vya habari karibu vyote, watoto wa mjini (misheni town) wafanyabiashara wa kimafia.
Matatizo yalianzia Kwa jpm pale baadhi yetu tuliamini kuwa YEYE tu ndo mwisho wa matatizo tukasahau kuwa ni binadamu kama walivyo wengine, bahati mbaya au nzuri aliye mrithi nikutoka katika walewale kwahiyo hakuna mgawanyiko. CHAMA KILEKILE WATENDAJI WALEWALE sisi tupo pale tunaendelea na maisha yetu tuliyoyazoea hatuna connections Wala godfather.Mlioigawanya ni nyie ambao mmegoma kuamini kuwa JPM amekufa na kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Makamu wa Rais ndiye anakuwa Rais. Pili, nchi iligawanywa pale JPM na serikali yake walipotaka kuiaminisha jamii kuwa wao tu ndo wenye akili, wazalendo na wenye haki na wanaoweza kuongiza nchi.
Hiyo lugha sio nzuri mkuu, hata kama huku mpendaHivi MTu anawezaje shabikia mzoga wa Magufuli. Ni ukichaa tu kwa mtu kama huyo wa gambosh. SUKUMA GANG HOVYO KABISA
OverMlioigawanya ni nyie ambao mmegoma kuamini kuwa JPM amekufa na kwa mujibu wa Katiba ya nchi, Makamu wa Rais ndiye anakuwa Rais. Pili, nchi iligawanywa pale JPM na serikali yake walipotaka kuiaminisha jamii kuwa wao tu ndo wenye akili, wazalendo na wenye haki na wanaoweza kuongiza nchi.