Sasa ni wazi kuna Mgawanyiko, Kundi la Hayati Magufuli na kundi la Walamba Asali

Walamba asali ni pamoja na viongozi wa vyama vya upinzani
Wewe ndio unalamba asali. Mmekalia upinzani wakati mmejazana bungeni na halmashauri. Kila baya lazima mtafute njia ya kuingiza upinzani. Mnafiki mkubwa wewe.
 
Falsafa ya Dkt Magufuli ni uzalendo na kuhakikisha rasilimali zinalifaidisha taifa, na huo ndiyo msimamo wa rais Dkt Samia, na ndiyo maana lile kundi la wezi wote na wenye uchu na kuiibia nchi lazima wafe kabisa wote ili taifa liendelee
Kama alivyokufa yeye Magufuli. Maana ndio alikuwa kubwa la majizi.
 
Ccm ijitafakari inaweza kuzikwa soon
 
Moto alouwasha hautokaa uzimike, ni swala la muda tu, tunapokaa kimya wanapomdhihaki mitandaoni wanahisi wao ndo the majority, siku yaja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…