Sasa ni zamu ya Kelvin John

Sasa ni zamu ya Kelvin John

Wote mko sawa wakuu ,

NB: nauliza ishu ya msuva kwenda benfica imeishaje?

MTC | 101| [emoji769]

Msuva alisema taarifa ya yeye kwenda Benfica iliyotolewa na meneja wake Dr Tiboroha haikuwa sahihi
 
Kelvin John yupo Brooke House College, chuo hiki kipo Leicester, England. Kinatoa mafunzo ya elimu kwa taaluma tofauti-tofauti ila lengo lao kuu ni kukuza vipaji vya mpira wa miguu. KJ yupo pale kupata elimu na kupata muda wa kucheza mpira huku akisubiri kufikisha miaka 18 ili kujiunga na KRC Genk, miaka 18 ndio imehalalishwa na shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) kwa mchezaji kuweza kusaini mkataba na timu kama professional player.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajibu ananishangaza sana.
Niliwahi kuandika uzi hapa kabla hata hajaenda yanga wala kurudi huko anakopaita nyumbani..

Nafikiri bado upo
 
Tanzania tuna vipaji vingi, ila wachezaji wengi hawajielewi.

Mfano: Ajib
Ajib hana kipaji...ni ndumba ndizo zinamfanya aonekane ana kipaji.....

Kipaji ni kama yule mshambuliaji wa Simba wanamwita" Sheva " Miraji athumani...anarogwa na kina ajibu tu, ndo mana majeruhi sana....mfuatilie kila akiingia anatupia na kuhatarisha namba kwa kina,Ajibu na ndumba wenzie kina Kagere...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Ajibu mwisho wake ni Kariakoo tu fullstop, na ameyataka mwenyewe, na msimu ujao tutamsikia yuko Ndanda fc and the like, mark my word.
 
Ajib hana kipaji...ni ndumba ndizo zinamfanya aonekane ana kipaji.....

Kipaji ni kama yule mshambuliaji wa Simba wanamwita" Sheva " Miraji athumani...anarogwa na kina ajibu tu, ndo mana majeruhi sana....mfuatilie kila akiingia anatupia na kuhatarisha namba kwa kina,Ajibu na ndumba wenzie kina Kagere...

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama Ajib anampiga misumari Sheva, mbona yeye haanzi?
 
Ajib hana kipaji...ni ndumba ndizo zinamfanya aonekane ana kipaji.....

Kipaji ni kama yule mshambuliaji wa Simba wanamwita" Sheva " Miraji athumani...anarogwa na kina ajibu tu, ndo mana majeruhi sana....mfuatilie kila akiingia anatupia na kuhatarisha namba kwa kina,Ajibu na ndumba wenzie kina Kagere...

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah miraji namkubali boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom