Ni kweli Mkuu kwa madai akifikisha miaka 18 anarudi genkMara ya mwisho kumuona alikuwa Leicester city
Bwana Migomba anazingua, ingekuwa ishu kufunguliwa njia si.angeenda Mazembe kipindi kile wanamtaka.
Hahah kumuelewa Ajibu utajipa kazi.Nimecheka kwa sauti njia ya kwenda wapi amewfungulia
Wote mko sawa wakuu ,
NB: nauliza ishu ya msuva kwenda benfica imeishaje?
MTC | 101| [emoji769]
Du umenifanya nicheke mpaka nimewashangaza waliopo karibu yangu.Hahaha kuna Mahali nimesoma Ajibu anasema Samata amewafungulia njia... I was like Nigga?!!
Dogo mwingine toka Azam academy ametua jana Renes France kwa majaribio
Sent using Jamii Forums mobile app
Ajib hana kipaji...ni ndumba ndizo zinamfanya aonekane ana kipaji.....Tanzania tuna vipaji vingi, ila wachezaji wengi hawajielewi.
Mfano: Ajib
Ajib hana kipaji...ni ndumba ndizo zinamfanya aonekane ana kipaji.....
Kipaji ni kama yule mshambuliaji wa Simba wanamwita" Sheva " Miraji athumani...anarogwa na kina ajibu tu, ndo mana majeruhi sana....mfuatilie kila akiingia anatupia na kuhatarisha namba kwa kina,Ajibu na ndumba wenzie kina Kagere...
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda njia ya kwenda chooniNimecheka kwa sauti njia ya kwenda wapi amewfungulia
ππππHahaha kuna Mahali nimesoma Ajibu anasema Samata amewafungulia njia... I was like Nigga?!!
TuuoneAjibu ananishangaza sana.
Niliwahi kuandika uzi hapa kabla hata hajaenda yanga wala kurudi huko anakopaita nyumbani..
Nafikiri bado upo
TumuombeeDogo mwingine toka Azam academy ametua jana Renes France kwa majaribio
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah miraji namkubali bossAjib hana kipaji...ni ndumba ndizo zinamfanya aonekane ana kipaji.....
Kipaji ni kama yule mshambuliaji wa Simba wanamwita" Sheva " Miraji athumani...anarogwa na kina ajibu tu, ndo mana majeruhi sana....mfuatilie kila akiingia anatupia na kuhatarisha namba kwa kina,Ajibu na ndumba wenzie kina Kagere...
Sent using Jamii Forums mobile app
siwezi kuuweka hapa mkuu wajuvi labda mnifundishe.
Nimeuona nilishausomaga kitambosiwezi kuuweka hapa mkuu wajuvi labda mnifundishe.
Ingia kwenye profile yangu uchek