The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
#MOTO. Maduka na Baadhi ya vibanda vya wajasiriamali katika Soko la Katoro mji mdogo wa Katoro mkoani Geita yameteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa.
Serkali ya Geita na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiendelea na uchunguzi kubaini chanzo hasa cha moto huo.
View attachment 2017215
Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua.
Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua.
Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua.
Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni nini?
Linalofata Ni lipi tujiandae.Sass hivi kila siku utasikia soko la eneo flani limeungua, soko la wafanyabishara wadogo eneo flani limeungua.
Siku hizi haipiti siku mbili masoko ya wafanyabishara wadogo hayajaungua.
Leo soko la katoro, mji mdogo mkoa wa Geita limeungua.
Ajali za moto za masoko zimekua nyingi sana, shida ni nini?
Itakua Manzese ama Tandale, subiri utaona😂.Linalofata Ni lipi tujiandae.
Uko sahihi. Hii ndio njia wameamua kuitumia kuondoa machinga.Ni njia rahisi ya kuondoa wamachinga.
Kwa nini masoko tuu#MOTO. Maduka na Baadhi ya vibanda vya wajasiriamali katika Soko la Katoro mji mdogo wa Katoro mkoani Geita yameteketea kwa moto na kusababisha hasara kubwa.
Serkali ya Geita na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiendelea na uchunguzi kubaini chanzo hasa cha moto huo.
View attachment 2017215