Sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Baada ya shughuli nyingi za kukimbiza shilingi nipo ndani ya Dada Dala habari kubwa ni hotuba ya Mh Rais Samia.

Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa anafoka ungefikiri tuko kituo cha polisi “sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa bunge la JMT”

Bahati mbaya bus linafika kituo changu cha kushuka.
 
Sasa kwanini usifuatilie habari yenyewe nzima, ukashuka, habari huoni haijakamilika🤔.
 
Ungenilipia nauli ya kurudi au unafanya mchezo na huu uchumi wa kati.

Ile barakashia kama ya majaliwa ina nikumbusha mbali sana.We fikiria tuliambiwa Rais anachapa kazi.
 
Kwa kuwa mzalendo najua usingehitaji malipo.
 
Baada ya shughuli nyingi za kukimbiza shilingi nipo ndani ya Dada Dala habari kubwa ni hotuba ya Mh Rais Samia.

Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa anafoka ungefikiri tuko kituo cha polisi “sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa bunge la JMT”

Bahati mbaya bus linafika kituo changu cha kushuka.
Nilikuwepo kwenye hiyo daladala ulivyoshuka yule mzee akaendelea kufoka huku akikipiga kiti kwa nguvu anasisitiza ni lazima awe mzanzibar tena atoke chake chake

Na IGP pia ni zamu ya znz
 
Kumbe tulikuwamo wengi yule mzee amesema hata waziri mkuu lazima atoke Zanzibar
 
Nilikuwepo kwenye hiyo daladala ulivyoshuka yule mzee akaendelea kufoka huku akikipiga kiti kwa nguvu anasisitiza ni lazima awe mzanzibar tena atoke chake chake

Na IGP pia ni zamu ya znz
Tena kwa msisitizo mzee alitaka apewe usukani aendeshe daladala
 
Hata Mabeyo anapaswa kustep down mama atuwekee mtu wa Kojani. Ni zamu yao sasa
 
Makame Mbarawa Mtu wa Mkoani anafaa,
Ni mzowefu na Mtu mkwelina mpole.
Msomi mzeri tuu.
 
Huyu Mama mwenyewe kesha kuwa mzigo. Una taka kuongeza mizigo? Hii nchi ni ya Watanganyika
 
Back
Top Bottom