Isakhamisi
JF-Expert Member
- Sep 5, 2019
- 387
- 448
Na mkuu wa majeshi pia ni zamu ya zanzibar, tokea liundwe jwtz magenerali wote wametoka bara Kwa hivyo mabeyo akimaliza muda wake safari hii ni zamu yetu mheshimiwa Samia usiliwache hili mabeyo karibu anamaliza muda wake wa utumishi.Nilikuwepo kwenye hiyo daladala ulivyoshuka yule mzee akaendelea kufoka huku akikipiga kiti kwa nguvu anasisitiza ni lazima awe mzanzibar tena atoke chake chake
Na IGP pia ni zamu ya znz