Sasa kwanini usifuatilie habari yenyewe nzima, ukashuka, habari huoni haijakamilika🤔.Baada ya shughuli nyingi za kukimbiza shilingi nipo ndani ya Dada Dala habari kubwa ni hotuba ya Mh Rais Samia.
Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa anafoka ungefikiri tuko kituo cha polisi “sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa bunge la JMT”
Bahati mbaya bus linafika kituo changu cha kushuka.
😅😅😅😅Nina mkakati mzito wa kuchukua uraia wa Zanzibar,huku bara machogo mmezubaa sana.
Sasa kwanini usifuatilie habari yenyewe nzima, ukashuka, habari huoni haijakamilika🤔.
Kwa kuwa mzalendo najua usingehitaji malipo.Ungenilipia nauli ya kurudi au unafanya mchezo na huu uchumi wa kati.
Ile barakashia kama ya majaliwa ina nikumbusha mbali sana.We fikiria tuliambiwa Rais anachapa kazi.
Nilikuwepo kwenye hiyo daladala ulivyoshuka yule mzee akaendelea kufoka huku akikipiga kiti kwa nguvu anasisitiza ni lazima awe mzanzibar tena atoke chake chakeBaada ya shughuli nyingi za kukimbiza shilingi nipo ndani ya Dada Dala habari kubwa ni hotuba ya Mh Rais Samia.
Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa anafoka ungefikiri tuko kituo cha polisi “sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa bunge la JMT”
Bahati mbaya bus linafika kituo changu cha kushuka.
Kumbe tulikuwamo wengi yule mzee amesema hata waziri mkuu lazima atoke ZanzibarNilikuwepo kwenye hiyo daladala ulivyoshuka yule mzee akaendelea kufoka huku akikipiga kiti kwa nguvu anasisitiza ni lazima awe mzanzibar tena atoke chake chake
Na IGP pia ni zamu ya znz
Tena kwa msisitizo mzee alitaka apewe usukani aendeshe daladalaNilikuwepo kwenye hiyo daladala ulivyoshuka yule mzee akaendelea kufoka huku akikipiga kiti kwa nguvu anasisitiza ni lazima awe mzanzibar tena atoke chake chake
Na IGP pia ni zamu ya znz
Hata Mabeyo anapaswa kustep down mama atuwekee mtu wa Kojani. Ni zamu yao sasa
Mbarawa hafai ,katiba haimruhusu, kwa Vile ni waziriMakame Mbarawa Mtu wa Mkoani anafaa,
Ni mzowefu na Mtu mkwelina mpole.
Msomi mzeri tuu.
Tanganyika ni nchi gani hiyo ?Huyu Mama mwenyewe kesha kuwa mzigo. Una taka kuongeza mizigo? Hii nchi ni ya Watanganyika