Sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Nilikuwepo kwenye hiyo daladala ulivyoshuka yule mzee akaendelea kufoka huku akikipiga kiti kwa nguvu anasisitiza ni lazima awe mzanzibar tena atoke chake chake

Na IGP pia ni zamu ya znz
Na mkuu wa majeshi pia ni zamu ya zanzibar, tokea liundwe jwtz magenerali wote wametoka bara Kwa hivyo mabeyo akimaliza muda wake safari hii ni zamu yetu mheshimiwa Samia usiliwache hili mabeyo karibu anamaliza muda wake wa utumishi.
 
Ghafla anasimama Mzee wa Makamu kavalia Barakashia kama ile ya Kassim Majaliwa anafoka ungefikiri tuko kituo cha polisi “sasa ni zamu ya Zanzibar kutoa Spika wa bunge la JMT”

Bahati mbaya bus linafika kituo changu cha kushuka.[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…