CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Hebu nikumbushe, mimi nilicomment chochote kwenye thread yako?
By z way karibu tena! Idd Mubarak
Don worry ma client they will understand!samahani wapendwa simu yangu haiwezi kupost maneno meng. naelewa nini maana ya chit chat so sijakwazika kwa kutajwa wala nini, me nipo simple sana na wala siogopi kutajwa popope iwe katka jf ama real life kwan kutajwa hakunipunguzii hata chembe ya uhai wala kuniongezea. nimegundua wanaonipenda na wasionipenda ktk jf. ila napenda kusema kuwa ili ufanikiwe ktk jambo lolote unahitaji marafiki na maadui au positive na negative. nina imani mmenielewa. naomba lawyer wangu ruttashobolwa anisaidie. . EID NJEMA
nachukua fursa hii kukuomba radhi rafk yangu,shost angu na kipenz changu beibe nasty, pole sana mpenzi kiukweli uliumia sana toka moyoni. . nisamehe nimerudi mamie. shem wangu Judgement natumai utanisaidia kuomba msamaha nawe pia naomba unisamehe kwa kukuumizia kipenzi chako!