Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
kuna mitano inakujaHii miaka minne (4) TZ tumepuyanga sana.
Wala siyo roho za husda ama nini, inatokeaga tu saa nyingine watu hawakupendi na hawakuamini. Huwezi kulazimisha kupendwa.Sijawahi kuona nchi yenye watu wenye roho ya husda kuzidi hii. Kimsingi Samia amefanya kila kilichotakiwa kufanywa na Rais.
Amekamilisha miradi ya watangulizi wake hata ile iloyoachwa tangu enzi za Nyerere. Inapotokea majanga, anashughulikia haraka tena kwa moyo wote. Kila sekta ameotolea jicho ikiwa pamoja na michezo. Tangu Uhuru, Marais wote wamejenga uwanja mmoja tu wa Kisasa (Lupaso). Yeye anajenga viwanja viwili vya kisasa ndani miaka hiyo minne tu. Haijawahi kutokea kima cha chini cha mshahara kuongezwa kwa 31% tangu Uhuru. Ni basi tu nchi ina watu wenye roho mbaya ila si zaidi ya hivyo.
Hakuna kundi jengine la kumuweka mtu asiyempenda binaadamu mwenzie bila sababu za kundi la wenye husuda na roho mbaya. Haiwezekani umchukie mtu bila sababu.Wala siyo roho za husda ama nini, inatokeaga tu saa nyingine watu hawakupendi na hawakuamini. Huwezi kulazimisha kupendwa.
Kwenye hizi issue za kuchaguana hakuna issue ya husda Wala Nini na ndo maana tunawekewa vitu zaidi ya kimoja Ili tuchague. Hata kama wote wangekuwa na sifa zinazofanana lazima Kuna mmoja angekuwa wa mwisho.Hakuna kundi jengine la kumuweka mtu asiyempenda binaadamu mwenzie bila sababu za kundi la wenye husuda na roho mbaya. Haiwezekani umchukie mtu bila sababu
Seems hujaelewa nachomaanishaKwenye hizi issue za kuchaguana hakuna issue ya husda Wala Nini na ndo maana tunawekewa vitu zaidi ya kimoja Ili tuchague. Hata kama wote wangekuwa na sifa zinazofanana lazima Kuna mmoja angekuwa wa mwisho.
Mwanzoi nimejaribu kuwa diplomatic kidogo, but nadhani Hata hivyo vitu unavyojinasibu ati kafanya Kuna wengine wengi wanaona hapo ni Hamna chochote, Tena zero kabisa. Kwa Hivyo huwezi kuwaita ni wenye husda Kwa kutompenda, Wana sababu za wazi za kutompenda. Wewe mpende Kwa vile unazo sababu za kumpenda, wengine hawajaona.Seems hujaelewa nachomaanisha
Ndo hujaelewa kabisa. Hivi kwanini watu weusi mnakuwa na husda na pia wajuaji hata katika mambo ambayo kimsingi hamjui? Sasa utasema vipi hajafanya ilhali amefanya na vinaonekana?? Hiyo ndo husda yenyewe.Mwanzoi nimejaribu kuwa diplomatic kidogo, but nadhani Hata hivyo vitu unavyojinasibu ati kafanya Kuna wengine wengi wanaona hapo ni Hamna chochote, Tena zero kabisa. Kwa Hivyo huwezi kuwaita ni wenye husda Kwa kutompenda, Wana sababu za wazi za kutompenda. Wewe mpende Kwa vile unazo sababu za kumpenda, wengine hawajaona.
Unaongelea vitu,Ndo hujaelewa kabisa. Hivi kwanini watu weusi mnakuwa na husda na pia wajuaji hata katika mambo ambayo kimsingi hamjui? Sasa utasema vipi hajafanya ilhali amefanya na vinaonekana?? Hiyo ndo husda yenyewe.
1. Mradi wa SGR, je huoni kama inafanya kazi?
2. Mradi wa umeme, ukienda kule huoni kama umeisha?
3. Daraja na Kigongo-Busisi, je ukienda kule hulioni?
4. Shule za sayansi za wanawake, je, hazionekani?
5. Je, madarasa mapya huyaoni?
6. Kule katesh kulitokea maporomoko ya matope, je wananchi hawakujengewa nyumba mpya na kupewa?
7. Ukitembea huko Mtumba, huoni maofisi mapya yanajengwa?
8. Kuna mwezi wowote, ambao watumishi hawakulipwa mishahara yao?
Ingekuwa mambo hayo yanahitaji ghaibu ili kuyajua hapo ni sahihi wanavyosema kuwa hakufanya, lakini hivyo vitu ni tangible na vinaonekana, then msingi wa kusema hakufanya nini zaidi ya husda za watu tu.
Hayaa, wewe ndo smart. HongeraUnaongelea vitu,
je,kuhusu uhai wa watz ambao ndio kipaumbele cha kwanza?
Nchi inaongozwa hovyo na watu wasio smart kichwani
Hv ww unadhani MUNGU anadanganya huo ni ukweli na utabaki hivyo kila mwanamke aliyepewa nafasi ya uongozi atadhihirisha haya maandiko.Tusirudie tena makosa.Haika nimeamini na kuelewa ni kwanini vitabu vya dini(Bibilia) inasema wazi kuwa mwanamke ni msaidizi tu na si vinginenyo.
Yaani wewe kila ushauri unaoletewa unauukubali hata kama una madhara makubwa yanayoweza hata ku-backfire. hapo baadae.
Watangulizi wa muhusika hata nao walikosea, ila si kwa kiwango hiki tunachoona sasa na huenda ni kwasababu walikuwa wanakataa baahi ya ushauri waliokuwa wanapewa.
Jiwe alikosea sana kutuleta huyu mtu na inawezekana alizongatia ule ushauri wa Bashite.
Kazi tunayo.
Hakuna hata kimoja alichobuni na kuanza kukifanya katika vyote ulivyovitaja. Nadhani hata wewe unajua isipokuwa unajitia upofu bure.Ndo hujaelewa kabisa. Hivi kwanini watu weusi mnakuwa na husda na pia wajuaji hata katika mambo ambayo kimsingi hamjui? Sasa utasema vipi hajafanya ilhali amefanya na vinaonekana?? Hiyo ndo husda yenyewe.
1. Mradi wa SGR, je huoni kama inafanya kazi?
2. Mradi wa umeme, ukienda kule huoni kama umeisha?
3. Daraja na Kigongo-Busisi, je ukienda kule hulioni?
4. Shule za sayansi za wanawake, je, hazionekani?
5. Je, madarasa mapya huyaoni?
6. Kule katesh kulitokea maporomoko ya matope, je wananchi hawakujengewa nyumba mpya na kupewa?
7. Ukitembea huko Mtumba, huoni maofisi mapya yanajengwa?
8. Kuna mwezi wowote, ambao watumishi hawakulipwa mishahara yao?
Ingekuwa mambo hayo yanahitaji ghaibu ili kuyajua hapo ni sahihi wanavyosema kuwa hakufanya, lakini hivyo vitu ni tangible na vinaonekana, then msingi wa kusema hakufanya nini zaidi ya husda za watu tu.