Una akili fupi sana. Miradi yote inayotokelezwa inakuwa kwenye ilani ya chama kwa kipindi husika, sasa 2021 kulikuwa na ilani mpya ya chama? Au ulitaka aache kilichobainishwa kutekelezwa kwenye ilani afanye ya kwake? Kwa msingi gani?
Hivi wenzetu huwa mnatumia nini kufikiri mbona mnaonesha uwezo mdogo sana wa matumizi ya akili, shida ni nini?