OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Uto ambao goli 1 tu dhidi ya Mtibwa wanalipata kwa mbinde eti wamfunge SBS 4. Mwigulu alitoa maelekezo chini ya kiapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naona kama walioondolewa ndiyo walipewa maelekezo toka juu kuwa ole wao wasipoondokakiwango walichokionyesha singida big stars kwenye mapinduzi cup ,mpaka kuwaondosha yanga mashindanoni naamini kwenye ligi huwa wanacheza kwa maelekezo maalum!ni
Unaongelea Singida ipi? Hii iliyoipangia full mkoko Yanga B na kuambulia sare. Singida mnaiona bora ni nyie ila ingekuwa bora ingeshika nafasi hata ya pili. Lakini yupo wapi kwenye msimamo?Uto ambao goli 1 tu dhidi ya Mtibwa wanalipata kwa mbinde eti wamfunge SBS 4. Mwigulu alitoa maelekezo chini ya kiapo
kiwango walichokionyesha singida big stars kwenye mapinduzi cup ,mpaka kuwaondosha yanga mashindanoni naamini kwenye ligi huwa wanacheza kwa maelekezo maalum!ni ujuha na ni upumbavu kukubali kufungwa ili uibebe timu ya bos wako! huo ni wehu kwa wachezaji ma profesional kucheza chini ya kiwango ili kumfulahisha bwana white!
SBS ina wachezaji wazuri ila siasa itawafanya wasifike popote. Kwanza sheria zetu zinaruhusu ujinga huu wa mtu kuwa ndani ya uongozi au umiliki wa timu zaidi ya moja unategemea nini?
Ila game ya jana kuna magoli ya ajabuajabu yalifungwa, kuanzia walilofunga AZAM na yale ya SBS yote ya mauzauza tu. Labda wameexchange Fei Toto na Mapinduzi Cup.
Kuna goli Mbrazil kapoteza mpira, badala akimbie ambayo ndiyo natural reaction ya mchezaji yoyote, yeye akasimama huku ameshika kichwa. Nilicheka sana 🤣😂🤣We mzee bhn,sasa makosa ya mabeki na viungo si ndo yalizaa magoli,na wanasema mpira ni mchezo wa makosa ndivyo ilivyo. Hakuna goli la ajabu ajabu,goli ni goli
Unafikiri kwa kutumia nini kwani!? Yanga B ndio ikutoe mapovu hivi? Long live Aden Ragekiwango walichokionyesha singida big stars kwenye mapinduzi cup ,mpaka kuwaondosha yanga mashindanoni naamini kwenye ligi huwa wanacheza kwa maelekezo maalum!ni ujuha na ni upumbavu kukubali kufungwa ili uibebe timu ya bos wako! huo ni wehu kwa wachezaji ma profesional kucheza chini ya kiwango ili kumfulahisha bwana white!