Sasa nimeamini Singida big stars wanapocheza na yanga kwenye ligi huwa wanapewa maelekezo maalum,

Uto ambao goli 1 tu dhidi ya Mtibwa wanalipata kwa mbinde eti wamfunge SBS 4. Mwigulu alitoa maelekezo chini ya kiapo
 
kiwango walichokionyesha singida big stars kwenye mapinduzi cup ,mpaka kuwaondosha yanga mashindanoni naamini kwenye ligi huwa wanacheza kwa maelekezo maalum!ni
Mimi naona kama walioondolewa ndiyo walipewa maelekezo toka juu kuwa ole wao wasipoondoka
 
Uto ambao goli 1 tu dhidi ya Mtibwa wanalipata kwa mbinde eti wamfunge SBS 4. Mwigulu alitoa maelekezo chini ya kiapo
Unaongelea Singida ipi? Hii iliyoipangia full mkoko Yanga B na kuambulia sare. Singida mnaiona bora ni nyie ila ingekuwa bora ingeshika nafasi hata ya pili. Lakini yupo wapi kwenye msimamo?
 
Kuna mda nataka kuamini km mashabiki wa simba hawana akili
 
Km Coastal Union akicheza na [emoji881]
 
Aaaha kumbe ulikuwa hujui mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hilo mbona liko wazi
 
We mzee bhn,sasa makosa ya mabeki na viungo si ndo yalizaa magoli,na wanasema mpira ni mchezo wa makosa ndivyo ilivyo. Hakuna goli la ajabu ajabu,goli ni goli
 
Na hili kuthibitisha hoja yako hiyo,ni muda tu ila bwana fancy kazadi atatua jangwani
 
We mzee bhn,sasa makosa ya mabeki na viungo si ndo yalizaa magoli,na wanasema mpira ni mchezo wa makosa ndivyo ilivyo. Hakuna goli la ajabu ajabu,goli ni goli
Kuna goli Mbrazil kapoteza mpira, badala akimbie ambayo ndiyo natural reaction ya mchezaji yoyote, yeye akasimama huku ameshika kichwa. Nilicheka sana 🤣😂🤣
 
Unafikiri kwa kutumia nini kwani!? Yanga B ndio ikutoe mapovu hivi? Long live Aden Rage
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…