Sasa nimeelewa kwanini Penny na Kidoti walitoa mimba za Diamond

Sasa nimeelewa kwanini Penny na Kidoti walitoa mimba za Diamond

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,424
Reaction score
4,954
Nadhani Kati ya wanawake waliodate na Diamond, wawili ndo walikuwa brightest of all, kwanza kielimu na pia kitabia. Nawaongelea Penny na Kidoti.

Hawa kinamama waliweza kuona mbele na hawakutaka kuja kuwa masingo mother Kama Zari, Missa, Tanasha. Coz waliijui na kuisoma vizuri tabia ya mmanyema master wa copy n paste and remix za hit song za watu. Na ndo nimepata jibu kwanini wanawake wale wali abort mimba za D, mpaka analalamika Sana mpaka kwenye nyimbo.
 
Hata Wema Seputu alitoa mimba ya Kanumba na baadae sasa anajutia.

Ni suala la muda tu kujua, heri kuwa single mother kuliko single lady na Mgumba ama tasa kwa pamoja.

Hatari si kuwa single mother bali madhara kama utatoa mimba.
 
Wanaume wa Dar mnakazi wewe utajuaje kama waliABORT?
 
Haupo serious ....wanawake zaidi ya miaka 18,hawajabakwa,wamevua chupi wao wenyewe kwa ridhaa yao.....eti jamii iingilie kati,kwa sheria na utaratibu upi?
Nadhani ifike mahala jamii inabidi imtenge kwa kitendo chake cha kuwachezea wanawake na kuwatelekeza bila hivyo atazidi kuwachezea hawa mabinti

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ifike mahala jamii inabidi imtenge kwa kitendo chake cha kuwachezea wanawake na kuwatelekeza bila hivyo atazidi kuwachezea hawa mabinti

Sent using Jamii Forums mobile app
hao mabinti wanalazimishwa? kuna asiejua uchafu wa diamond? lakini still wanajipeleka, mfano tanasha uuwi yule dada ndo alinishangaza kupita woooote, sijui alizani yy anakuja na muujiza gani masikini, yani kaingia faster na kubeba mimba fasher, hv mwanaume ana watoto watatu kwa wanawake wawili tofauti, na wote walishazalilishwa in public, ni mtu wa kukimbilia kuzaa nae kweli huyo? hapana kwa kweli, as much as daimond ananichefua ila hawa wadada wanaojipeleka kwake wananichefua zaidi
 
Back
Top Bottom