Sasa nimeelewa kwanini Penny na Kidoti walitoa mimba za Diamond

Haijalishi sababu ila kuchomoa mimba haikubaliki isipokuwa kwasababu za kiafya kwa ushauri wa madaktari
 
Najua watu tunamlaumu sana D,lkn asilimia kubwa wasanii wengi wa kiume ni malaya,sometimes huwezi kuwalaumu kutokana na nature ya kazi yao wanakutana na watoto wa kike wengi wanao jilengesha wenyewe.

We Dully Skykes mpaka sasa ana watoto sita kutoka kwa wanawake 6,Kiba watoto wanne kutoka kwa wanawake wanne,Mbosso hajavuka 30yrs kishazaa na wanawake watatu,Aslay naye miaka miwili iliyopita nimesikia ameshazaa na wanawake wawili,Barnaba naye hivyo hivyo,Nay kishazaa na wanawake watatu hata huyu dogo aliyekuwa naye sasa hivi atapiga na kutambaa.

Ila vya Diamond vina vuma sababu maisha yake ya kimahusiano kayaweka kwenye mitandao,wenzake ni malaya wa KIMYA KIMYA.

Huyo Bob Marley mwenyewe pamoja na IQ yake kubwa kimziki,lkn alishindwa kumcontrol Abdalah kichwa wazi ,kamwendekeza hatimaye kazaa na wanawake 9.

Bob Marley: All His Children & 9 Baby Mommas

Ila kuchomoa mimba siku zote humkomoi mwanaume bali hiyo dhambi itaendelea kukutafuna KIROHO na KIMWILI (afya) na kama husipo iungama itakutafuna mpaka kaburini.
 
Acha tuseme ndumba zake ndizo zinawapumbaza na kushindwa kujielewa hao mabinti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina maana mkuu wa wilaya alitoa mimba?
 
Hao wadada nao hawampi chance ya kuwapenda, wanajirahisisha mno
 
Inaonekana we unazichomoa sana mimba za masela kitaa,angalia usije kuwa mgumba mbeleni
 
Unauhakika na uliyoyaandika?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wanaopata single mlo kwa siku utawajua tu

nani kakudanganya kula mara 3 ni ufahari au jambo zuri ?
mimi nina vijisenti ila nakula mara moja kwa siku, sio kwamba siwezi kula mara 3 ila sipendi, ndio mleta mada kaleta mada ya ajabu ila hukupaswa kusema hivo mkuu,
mfano mwingine ni michael jackson alikua na utajiri wa zaidi ya usd 1 billion lakini alikuwa hali


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
nna wasiwasi na uwezo wako wa kufikiri ...kutoa mimba n ujanja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…