Sasa nimeelewa maovu mengi ya Mbowe kupitia Lissu

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Lissu Kaamua Kufichua Siri za Mbowe
  1. Rushwa
  2. Ubadhirifu wa fedha za chama, ikiwemo kukodisha chopa wakati wa kampeni
  3. Ubinafsi
  4. Udikteta
Na mengine mengi
 
Vyama vya siasa hasa vya ukinzani na CCM vina mauzauza mengi sana.Viongozi wakuu wa hivyo vyama wanaviongoza kama familia zao.Bure kabisa.
 
Lisu kaamua kumwaga mboga, sasa ukimsikiliza kila atakacho zungumza ni wazi kabisa kaamua kuanika maovu yote aliyo kuwa akiyafanya mbowe kwa siri.
1. Rushwa.
2. Ubadhirifu wa fedha za chama, kupitia kukodiswa kwa chopa wakati wa kampeni.
3. Ubinafsi.
4. Udikteta.
5.
na mengine mengi.
Ndani ya ccm nani ana uthubutu wao kuongea haya na akabaki salama?
 
Lisu kaamua kumwaga mboga, sasa ukimsikiliza kila atakacho zungumza ni wazi kabisa kaamua kuanika maovu yote aliyo kuwa akiyafanya mbowe kwa siri.
1. Rushwa.
2. Ubadhirifu wa fedha za chama, kupitia kukodiswa kwa chopa wakati wa kampeni.
3. Ubinafsi.
4. Udikteta.
5.
na mengine mengi.
Mimi nimeelewa ujinga mwingi wa Lissu kupitia Mbowe:
1. Tamaa ya madaraka
2. Fujo
3. Kukusa shukrani
4. Visasi
5.
 
Naomba mwenye uelewa anisaidie. Chama cha upinzani kinaweza kuwa kama mali ya mtu binafsi? Je akifa huyo mtu anarithisha watoto wake? Na ccm nayo ni ya watu binafsi kama ilivo chadema? Nimeuliza kwa nia njema please msinielewe vibaya
 
1000018418.jpg
 
Mimi binafsi nimemuelewa lissu kama ifauatavyo> 1.Hakuna hata sehemu aliyoambiwa yeye ni mwizi 2.hakuna hata sehemu aliyoambiwa yeye mubadhirifu wa mali ya umma
 
"mpaka waisome namba eeee" mkifanikiwa kuisoma iyo namba ndo nitaanza kuwa mfuasi wa politics
 
Naomba mwenye uelewa anisaidie. Chama cha upinzani kinaweza kuwa kama mali ya mtu binafsi? Je akifa huyo mtu anarithisha watoto wake? Na ccm nayo ni ya watu binafsi kama ilivo chadema? Nimeuliza kwa nia njema please msinielewe vibaya
Swali lako ni jepesi sana kulijibu hata kwa mtu asiyefuatilia mambo ya siasa.
1.Chama cha upinzani(Chadema) ni mali ya mtu binafsi maana yake hakuna uwazi kwenye matumizi ya ruzuku,hakuna mwongozo wa kuonesha kwamba ruzuku ikipatikana inatumikaje,kiongozi atakaa madarakani kwa miaka mingapi,hakuna taarifa za kuonyesha miradi ya chama.
Na kikiendelea kuongozwa kwa staili hiyo maana yake kiongozi akifa na chama kinakufa.
Ndio maana Zito Kabwe kwa kuliona hilo mapema akaanzisha chama chake cha ACT Wazalendo.
2.CCM sio chama cha watu binafsi kwa sababu kinaongozwa kwa ilani yaani wanachama wote wanakuwa wanajua mikakati yote ya chama ya sasa na ijayo kwa hiyo inakuwa ni muongozo wao na imeandikwa kwenye makaratasi.
Pia wanakuwa wanajua kwamba baada ya kiongozi fulani kumaliza muda fulani tutampendekeza mtu fulani na fulani wagombee kutokana na uzoefu wao kwenye chama.
 
Tlaatlah unaitwa hapa
 
asante sana nakushukuru mzee mwenzangu, kutokana na majibu yako nimegundua mambo haya
1. Chama pekee cha siasa tz ni ccm.
2. Vyama vingine vimesajiliwa kama vyama vya siasa ila nyuma ya pazia ni sakos za watu wanajipigia ela tu.
3. Hakuna haja ya kutumia nguvu nyingi kupigania sacos ya mtu wala kuandamana kwa ajili ya sacos yake.
4. Ndio maana mtu yeyote akitaka kugombea uenyekiti wa chadema anaishia kufukuzwa chadema na pale juu kwenye madaraja lazima akae mbowe.

Swadakta.
Ni watu wenye uono hafifu tu wa kifikra ndio hupoteza muda wao kwenda kuandamana kwa kufuata mkumbo mwisho wa siku unapewa ulemavu wa kudumu au unakaa jela kisha familia yako ndio inateseka watajifanya kukupigania kwa miezi mitatu ya kwanza baada ya hapo wanakusahau huku wakiendelea kutafuna ruzuku.
 
Vyama vya siasa hasa vya ukinzani na CCM vina mauzauza mengi sana.Viongozi wakuu wa hivyo vyama wanaviongoza kama familia zao.Bure kabisa.
Kweli kabisa mkuu. Hujaskia hapo UG kumbe Bob Whine alikuwa pandikizi la M7 kummaliza Besigye. Vyama vya siasa haviaminiki kabisa kwanza Africa😂
 
Naona FAL kakaliwa kooni safari hii haamini kinachotokea. Zile dawa zake za shinikizo la damu la juu nadhani dozi zake zitakuwa zimeongezwa. Asipokuwa mwenyekiti atayumba sana kiuchumi, anafikiria mambo mengi
 
Back
Top Bottom