Sasa nimekuwa mchepuko rasmu kwa aliyekuwa mpenzi wangu

The Wolf

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
9,412
Reaction score
20,685
Dunia inaenda kasi, baada ya kugundua kuwa kuna njemba inammendea aliyekuwa mpenzi wangu naye akawa ana mu entertain tuligombana na kutengana kwa muda kila mtu na mambo yake. Jamaa akakaza na kumchukua ex wangu nami nikaendelea na mambo yangu

Lahaulaaaa wiki 2 zilizopita nikakutana na ex wangu.

Kufupisha story now ninakula matunda ya uwekezaji wangu kwa kipindi chote tena free kabisa, ni zamu ya jamaa kugharamia na mimi kutumia... tit for tat
 
Usisahau kuleta mrejesho siku anaehudumia akikufuma, maana nasikia siku hizi hawafumanii wenye ndoa tu hata wapenzi/wachumba. Alafu wakikufuma wanakukonki master.
 
Jihadhari tu dudu baya asipate jina lako
 
uwekezaji mzuri njemba itamuacha na wewe utabeba mazima alafu njemba nae aje kula uwekezaji wake.
 
Kugongewa demu tu inavyouma, je mke si zaidi?
Jiandae kwa lolote siku ukishtukiwa na binti ajiandae kurudi kwao siku yoyote.

Kuna mawili kujeruhiana au kuuana.

Hayo ndiyo mapenzi
 
Kugongewa demu tu inavyouma, je mke si zaidi?
Jiandae kwa lolote siku ukishtukiwa na binti ajiandae kurudi kwao siku yoyote.

Kuna mawili kujeruhiana au kuuana.

Hayo ndiyo mapenzi

Mkuu, mwanzoni alianza yeye kuingilia mahusiano yangu, hamna namna
 
duuuuduuuu bayaaaa usicheze naye ukicheza naye utauwawaaaaa duuuduu bayaaaa ×2

just singing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…