The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,412
- 20,685
Dunia inaenda kasi, baada ya kugundua kuwa kuna njemba inammendea aliyekuwa mpenzi wangu naye akawa ana mu entertain tuligombana na kutengana kwa muda kila mtu na mambo yake. Jamaa akakaza na kumchukua ex wangu nami nikaendelea na mambo yangu
Lahaulaaaa wiki 2 zilizopita nikakutana na ex wangu.
Kufupisha story now ninakula matunda ya uwekezaji wangu kwa kipindi chote tena free kabisa, ni zamu ya jamaa kugharamia na mimi kutumia... tit for tat