Sasa nimepata jibu kwanini MAYELE haitwi timu ya taifa ya congo!

Mayele anatakiwa afunge kwa mujibu wa bahasha na wote wanaocheza nae wanayajua hayo maelekezo. Hivyo bahasha ikishatolewa mabeki wa timu pinzani wanajilegeza ili kumpa nafasi ya kufunga.
 
nilikuwa najiuliza wacongo kwa nini hawamjumuishi mayele timu ya taifa? huyu ni mchezaji bora kwenye ligi ndogo na mechi dhaifu! leo anaruka ruka tu!
Mnahonga na kununua wachawi wote Tanzania halafu unaita ligi dhaifu?
 
Mayele mwisho wake ni mechi za round ya kwanza ya mtoano, huko atakutana na watoto awapige hat trick atakavyo, lakini baada ya hapo Mayele ndio anakuwa Mayele.
Kwenye Kikosi changu cha round ya kwanza ya Ligi Kuu msimu uliopita, Nilimuweka benchi na nafasi yake alichukua Lusajo akicheza na Dube kwa kuwa walikuwa wapo sawa kwa mabao 10 kila mmoja.

Ila akina Bila bila walileta ujinga wao mwingi sana, Hata hivyo kuna waliounga mkono hoja, akiwemo mkuu Scars tena yeye alienda mbali kuwa hata benchi akingemuweka.

Mayele bado hajifikia hata nusu ya Kagere, ni vile tu Yanga wana uhaba wa Mshambuliaji, kwanza ili afunge anahitaji nafasi tatu mpaka tano ndo afunge bao moja.
 
Kwenye naafasi 3 Mayele anakosa 5
 
nilikuwa najiuliza wacongo kwa nini hawamjumuishi mayele timu ya taifa? huyu ni mchezaji bora kwenye ligi ndogo na mechi dhaifu! leo anaruka ruka tu!
Hata hiyo dhaifu ameshindwa kuwa mchezaji bora
 
Mayele mayele mayeleee Aaah ndo huyo huyo kipenzi cha wanayanga leo wanamkataaa striker bora afrika mashariki...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…