Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilikuwa najiuliza wacongo kwa nini hawamjumuishi mayele timu ya taifa? huyu ni mchezaji bora kwenye ligi ndogo na mechi dhaifu! leo anaruka ruka tu!
Mnahonga na kununua wachawi wote Tanzania halafu unaita ligi dhaifu?nilikuwa najiuliza wacongo kwa nini hawamjumuishi mayele timu ya taifa? huyu ni mchezaji bora kwenye ligi ndogo na mechi dhaifu! leo anaruka ruka tu!
anarukaruka kama maharagwe ya mbeya!nilikuwa najiuliza wacongo kwa nini hawamjumuishi mayele timu ya taifa? huyu ni mchezaji bora kwenye ligi ndogo na mechi dhaifu! leo anaruka ruka tu!
Kwakweli manula nae kazidi mno kupewa bahashaMayele anatakiwa afunge kwa mujibu wa bahasha na wote wanaocheza nae wanayajua hayo maelekezo. Hivyo bahasha ikishatolewa mabeki wa timu pinzani wanajilegeza ili kumpa nafasi ya kufunga.
Kwenye Kikosi changu cha round ya kwanza ya Ligi Kuu msimu uliopita, Nilimuweka benchi na nafasi yake alichukua Lusajo akicheza na Dube kwa kuwa walikuwa wapo sawa kwa mabao 10 kila mmoja.Mayele mwisho wake ni mechi za round ya kwanza ya mtoano, huko atakutana na watoto awapige hat trick atakavyo, lakini baada ya hapo Mayele ndio anakuwa Mayele.
Kwenye naafasi 3 Mayele anakosa 5Kwenye Kikosi changu cha round ya kwanza ya Ligi Kuu msimu uliopita, Nilimuweka benchi na nafasi yake alichukua Lusajo akicheza na Dube kwa kuwa walikuwa wapo sawa kwa mabao 10 kila mmoja.
Ila akina Bila bila walileta ujinga wao mwingi sana, Hata hivyo kuna waliounga mkono hoja, akiwemo mkuu Scars tena yeye alienda mbali kuwa hata benchi akingemuweka.
Mayele bado hajifikia hata nusu ya Kagere, ni vile tu Yanga wana uhaba wa Mshambuliaji, kwanza ili afunge anahitaji nafasi tatu mpaka tano ndo afunge bao moja.
Hata hiyo dhaifu ameshindwa kuwa mchezaji boranilikuwa najiuliza wacongo kwa nini hawamjumuishi mayele timu ya taifa? huyu ni mchezaji bora kwenye ligi ndogo na mechi dhaifu! leo anaruka ruka tu!