GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
“Mimi natamani kwenda nje, na ofcourse lazima nitaenda nje na ukiuliza Nchi gani nitakuambia tudondoke state hapo (Marekani), Madam (Rais Samia) tupeleke zetu state, mpigie simu Mzee Biden mwambie nakuja na Vijana akina Jay Z tuwakute pale tuzungumze, si umeona akina steve wanazungumza na Wakorea”
“Mimi najua itafika wakati wa kwenda Wasanii wa Bongofleva na tutafurahi sana kama walivyofurahi Wasanii wa Bongomovie, tupo kwenye foleni yeyote atakayebahatika kwenda atakuwa ametuwakilisha wote”
Nukuu zote hizi kazisema Msanii Harmonize.
Na ndiyo maana GENTAMYCINE nikiwa najua nakutana na Watu wa Mataifa yenye Werevu huwa naukana Utanzania.