GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
😅😅😅 Aibu sana kwa kweli. Hapo kwa lissu umemuonea. Lissu huwezi mfananisha na hao wengine bhana.Silly national imagine mbowe aliyepata zero shule ni mpinzani wa CCM wa muda wote na ruzuku anakula na familia halafu eti samia just mapokezi garl anakuwa rais ? Imagine tu lisu na akili zile eti awe rais ,darasa la saba kama kusukuma eti analiamsha bunge na makofi imagine sugu anakuwa mbunge kwenye eneo la wasomi kama Mbeya na anajita rais wa wanambeya huku lema mwenye tuhuma za wizi wa magari anakuwa mbunge na nabii ,hebu imagine Steve Nyerere anakuwa kiongozi wa wasanii wote hapa Tanzania imagine kitenge form two failure anakuwa icon wa habari hapa Tanzania imagine tu
USSR
Unamuwekaje Lisu kapu moja na hao uliowataja..?Silly national imagine mbowe aliyepata zero shule ni mpinzani wa CCM wa muda wote na ruzuku anakula na familia halafu eti samia just mapokezi garl anakuwa rais ? Imagine tu lisu na akili zile eti awe rais ,darasa la saba kama kusukuma eti analiamsha bunge na makofi imagine sugu anakuwa mbunge kwenye eneo la wasomi kama Mbeya na anajita rais wa wanambeya huku lema mwenye tuhuma za wizi wa magari anakuwa mbunge na nabii ,hebu imagine Steve Nyerere anakuwa kiongozi wa wasanii wote hapa Tanzania imagine kitenge form two failure anakuwa icon wa habari hapa Tanzania imagine tu
USSR