Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,619
acha tu sis nimenusurika kigoma hukoNimekumiss Smile, how was your Easter na majonzi ya Kanumba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha tu sis nimenusurika kigoma hukoNimekumiss Smile, how was your Easter na majonzi ya Kanumba?
umeleweka kama mlandizi ndiye aliyeimenya hiyo ndizi lakini kama ilimenywa na mwingineo yule aliyeimenya ndiya aliyatupa maganda..............na mwenzie kuimung'unya...........................lol
Huu msemo au sijui niite methali, Bwana Ruta. nimewahi kuwasikia wahenga wakiutumia kwa kurejela wahusika wawili tu, "Mla ndizi [mtupa maganda] na mtupiwa maganda"
Au huu msemo wa leo wewe ndio "original source"?
*Tupo katika kuelimishana lugha ya taifa tu
acha tu sis nimenusurika kigoma huko