Huu msemo au sijui niite methali, Bwana Ruta. nimewahi kuwasikia wahenga wakiutumia kwa kurejela wahusika wawili tu, "Mla ndizi [mtupa maganda] na mtupiwa maganda"
Au huu msemo wa leo wewe ndio "original source"?
*Tupo katika kuelimishana lugha ya taifa tu