Pre GE2025 Sasa Rais umeanza kuwa serious. Endelea hivyohivyo kuwanyoosha mpaka wajue kuwa Urais hauna ubia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Mwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity.

Sasa unavyowanyoosha namna hii unatuma meseji kwa umma kuwa rais sasa hacheki na "kima". Hii inaleta heshima, watu wanakuona kuwa uko serious.

Tatizo la kuleta ushkaji, umazoea, urafikirafiki katika kazi na kujuana saaana mambo yanakuwa hayaendi na lawama zinakurudia wewe.

Huu mkeka ulioutoa siku mbili hizi umetuma meseji kali kuwa rais sasa hataki masihara na hili ni jambo zuri.

Sasa kuna mambo yafuatayo inabidi uyafanye ili uweze kuwin mioyo ya Watanzania.

1. Mosi katiba mpya iliyobora. Ukiamua kuibeba ajenda hii umma utakuunga mkono

2. Punguza matumizi, zikiwemo safari zisizo na tija, peleka hizo hela za safari kwa vijana wapate mitaji au wapate ajira

3. Wanyooshe wateule wako lakini usilete ubandidu kwa wananchi, ukifanya hivyo utaharibu

4. Punguza habari za kukopakopa huko IMF, ukikopa sana nchi itapigwa mnada hii.

5. Achana na habari za kugawa rasilimali za nchi kwa mikataba mibovu. Hivi vijisenti vichache vya kukamilisha au kufanya miradi visikufanye ukaacha kujua kuwa rasilimali zetu ni bora kuliko vimiradi hivyo vya leo.

Mimi Missile of the Nation and I endorse your current move.

One last thing, Rais nipe kazi katika think tank ya nchi nitakusaidia. Najua watu wako wamo humu, watume wanitafute, pengine wananijua mimi siwajui ila nataka kuisaidia hii nchi.

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

- News Alert: - Utenguzi wa Baadhi ya Viongozi wa TTCL, Posta na UCSAF
 
Mwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity.

Sasa unavyowanyoosha namna hii unatuma meseji kwa umma kuwa rais sasa hacheki na "kima". Hii inaleta heshima, watu wanakuona kuwa uko serious.

Tatizo la kuleta ushkaji, umazoea, urafikirafiki katika kazi na kujuana saaana mambo yanakuwa hayaendi na lawama zinakurudia wewe.

Huu mkeka ulioutoa siku mbili hizi umetuma meseji kali kuwa rais sasa hataki masihara na hili ni jambo zuri.

Sasa kuna mambo yafuatayo inabidi uyafanye ili uweze kuwin mioyo ya Watanzania.

1. Mosi katiba mpya iliyobora. Ukiamua kuibeba ajenda hii umma utakuunga mkono

2. Punguza matumizi, zikiwemo safari zisizo na tija, peleka hizo hela za safari kwa vijana wapate mitaji au wapate ajira

3. Wanyooshe wateule wako lakini usilete ubandidu kwa wananchi, ukifanya hivyo utaharibu

4. Punguza habari za kukopakopa huko IMF, ukikopa sana nchi itapigwa mnada hii.

5. Achana na habari za kugawa rasilimali za nchi kwa mikataba mibovu. Hivi vijisenti vichache vya kukamilisha su kufanya miradi visikufanye ukaacha kujua kuwa rasilimali zetu ni bora kuliko vimiradi hivyo vya leo.
Wanyonge awape nafasi....hao mabepari hawana huruma..walimwambia anaupiga mwingi akadhani anafanya poa..kumbe menyewe ndio yanapiga mwingi.
 
Mwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity.

Sasa unavyowanyoosha namna hii unatuma meseji kwa umma kuwa rais sasa hacheki na "kima". Hii inaleta heshima, watu wanakuona kuwa uko serious.

Tatizo la kuleta ushkaji, umazoea, urafikirafiki katika kazi na kujuana saaana mambo yanakuwa hayaendi na lawama zinakurudia wewe.

Huu mkeka ulioutoa siku mbili hizi umetuma meseji kali kuwa rais sasa hataki masihara na hili ni jambo zuri.

Sasa kuna mambo yafuatayo inabidi uyafanye ili uweze kuwin mioyo ya Watanzania.

1. Mosi katiba mpya iliyobora. Ukiamua kuibeba ajenda hii umma utakuunga mkono

2. Punguza matumizi, zikiwemo safari zisizo na tija, peleka hizo hela za safari kwa vijana wapate mitaji au wapate ajira

3. Wanyooshe wateule wako lakini usilete ubandidu kwa wananchi, ukifanya hivyo utaharibu

4. Punguza habari za kukopakopa huko IMF, ukikopa sana nchi itapigwa mnada hii.

5. Achana na habari za kugawa rasilimali za nchi kwa mikataba mibovu. Hivi vijisenti vichache vya kukamilisha su kufanya miradi visikufanye ukaacha kujua kuwa rasilimali zetu ni bora kuliko vimiradi hivyo vya leo.
Kama hao mnaosema wananyooshwa huwa wanaondolewa tu kwenye nafasi huku wakiondoka na walichopiga ambacho ni zaidi ya mshahara wao wa maisha yao yote kama wangeendelea kubaki mawaziri kwa maisha yao yote, sasa wadhani nani ataacha kupiga?
Mtu anakaa miaka miwili anavuna pesa ambayo mbunge hapati hata kwa miaka 20 adhabu anayopata ni kutumbuliqa tu.
 
Mwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity.

Sasa unavyowanyoosha namna hii unatuma meseji kwa umma kuwa rais sasa hacheki na "kima". Hii inaleta heshima, watu wanakuona kuwa uko serious.

Tatizo la kuleta ushkaji, umazoea, urafikirafiki katika kazi na kujuana saaana mambo yanakuwa hayaendi na lawama zinakurudia wewe.

Huu mkeka ulioutoa siku mbili hizi umetuma meseji kali kuwa rais sasa hataki masihara na hili ni jambo zuri.

Sasa kuna mambo yafuatayo inabidi uyafanye ili uweze kuwin mioyo ya Watanzania.

1. Mosi katiba mpya iliyobora. Ukiamua kuibeba ajenda hii umma utakuunga mkono

2. Punguza matumizi, zikiwemo safari zisizo na tija, peleka hizo hela za safari kwa vijana wapate mitaji au wapate ajira

3. Wanyooshe wateule wako lakini usilete ubandidu kwa wananchi, ukifanya hivyo utaharibu

4. Punguza habari za kukopakopa huko IMF, ukikopa sana nchi itapigwa mnada hii.

5. Achana na habari za kugawa rasilimali za nchi kwa mikataba mibovu. Hivi vijisenti vichache vya kukamilisha au kufanya miradi visikufanye ukaacha kujua kuwa rasilimali zetu ni bora kuliko vimiradi hivyo vya leo.

Mimi Missile of the Nation and I endorse your current move.

One last thing, Rais nipe kazi katika think tank ya nchi nitakusaidia. Najua watu wako wamo humu, watume wanitafute, pengine wananijua mimi siwajui ila nataka kuisaidia hii nchi.
Weka namba ya simu sasa tukuchek
 
Serious gani wewe mjinhmga? Matatizo ya raia yako pale pale, uoigaji uko pale pale, anacho fanya ni kucheza na akili za wajinga.
 
Umesahau kwamba ameziba masikio, hasikii?
 
Angeendelea kufanya hivi ata waliotajwa kwenye report ya CAG na kuwapeleka kisutu wasingemchezea
 
Back
Top Bottom