Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakifanya hayo uliyoorodhesha itakuwa poa na kwa manufaa kwa wananchi. Nje ya hapoa mambo yao tuwaachie wenyewe hayana maslahi kwetu bali kwa maslahi ya siasa zao tu za chamaMwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity.
Sasa unavyowanyoosha namna hii unatuma meseji kwa umma kuwa rais sasa hacheki na "kima". Hii inaleta heshima, watu wanakuona kuwa uko serious.
Tatizo la kuleta ushkaji, umazoea, urafikirafiki katika kazi na kujuana saaana mambo yanakuwa hayaendi na lawama zinakurudia wewe.
Huu mkeka ulioutoa siku mbili hizi umetuma meseji kali kuwa rais sasa hataki masihara na hili ni jambo zuri.
Sasa kuna mambo yafuatayo inabidi uyafanye ili uweze kuwin mioyo ya Watanzania.
1. Mosi katiba mpya iliyobora. Ukiamua kuibeba ajenda hii umma utakuunga mkono
2. Punguza matumizi, zikiwemo safari zisizo na tija, peleka hizo hela za safari kwa vijana wapate mitaji au wapate ajira
3. Wanyooshe wateule wako lakini usilete ubandidu kwa wananchi, ukifanya hivyo utaharibu
4. Punguza habari za kukopakopa huko IMF, ukikopa sana nchi itapigwa mnada hii.
5. Achana na habari za kugawa rasilimali za nchi kwa mikataba mibovu. Hivi vijisenti vichache vya kukamilisha au kufanya miradi visikufanye ukaacha kujua kuwa rasilimali zetu ni bora kuliko vimiradi hivyo vya leo.
Mimi Missile of the Nation and I endorse your current move.
One last thing, Rais nipe kazi katika think tank ya nchi nitakusaidia. Najua watu wako wamo humu, watume wanitafute, pengine wananijua mimi siwajui ila nataka kuisaidia hii nchi.
PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - Uteuzi na Utenguzi: Nape, January na Byabato out! Jerry Silaa ahamishiwa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
- News Alert: - Utenguzi wa Baadhi ya Viongozi wa TTCL, Posta na UCSAF
RubbishMwanzo walikuchukulia poa, kwa sababu ya huruma ya mama wakadhani wanaweza kufanya mambo with impunity.